Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

Exactly..
Zamani China alikuwa ananunua silaha za US kupitia Israel, walikuwa ni kama wana ushirikiano flani wa kimaslahi...
Israel ilikuwa backdoor kwa China kuchukua silaha mbali mbali za US na kuzifanyia tafiti..
Lakini miaka ya 2000s mwanzoni US ilipiga marufuku Israel kumpa zilaha zake China...

Hivyo kwa sasa China haina tena maslahi na Israel kama ilivyokua hapo awali, hivyo kwa sasa Israel inamuhitaji China kuliko hata CHina inavyomuhitaji Israel...

Kwa hilo lazima pachangamke..
China ni taifa ambalo linafikiria sana kuhusu aftermath.
China inajitosheleza angle nyingi sana japo sio zote,Israel hana umuhimu wowote kwa China sasa.
China ni mtu wa profit maximization tu.
 
China ni mtu ambaye hapendi kuihusisha nchi yake na vita direct,yeye ni mtu wa indirect,anakupa silaha anakupa financial aid pambana mwenyewe ila hakupi bure baadae lazima mfidiane.
Kwenye hizi vita China ametengeneza pesa ndefu sana...

Hii vita ya Ukraine na Russia, drone zinahusika kwa asilimia kubwa sana..

Ukraine na Russia wote wanatumia circuits kutoka China...

Vifaa vingi wanavyotumia ku assemble hizo drones ni kutoka China... hata Ukraine wanaona wa assemble drones zao kwa kutumia vifaa kutoka China....

China kwa kweli inazidi kupaa..
 
Furaha yangu ndio hii sasa, bora kukosa demu baba mwenda akapigwa hivi laaa safi
 
Sasa mambo ya june 16 unatuletea leo eboo
Screenshot_20250705-182325.png
 
Urusi anataka kuichukua ukraine yote,kiduku anaongeza 25k soldiers, wakati huohuo Putin kaomba askari toka laos,so Putin huenda anahitaji silaha zaidi
Lakini mchina kishapeleka ndege 40 j-10, kasema hawezi kubali Iran ianguke na kupoteza $400b zake alizowekeza mashariki ya Kati
Wakati huohuo anataka ku-launch mfumo mpya wa miamala duniani na kasema unipolar haipo tena tujipange na multipolar
Kuna watu watapoteza ubingwa soon
Hii ya moto.
 
Hizi ndege za J10 zilichukuliwa poa, ila sasa naona ni kama wanaanza kuziangalia kwa jicho lingine, nadhani ile issue ya Pakistan kuzishambulia Rafale za India ambazo zinatengenezwa na France ambazo ni ndege bora kabisa na hatari zaidi kuliko F-16s katika vita imepelekea watu wengi kumuangalia mchina kwa namna nyingine...

Kwa kweli Iran anahitaji hizi J10 kukabiliana na F-15 na F-16 za Israel...
Naona China hajajifikiria mara mbili kumpa dege vita Iran kwa kuihofia US kuanzisha vikwazo kwa sababu hadi sasa US anapeleka vifaa vya kijeshi Taiwan, hivyo ni win win situation...
Hii ndiyo ile,Kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kwaliwa.
 
Back
Top Bottom