Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

Huko bungeni netanyahu kabwatukiwa kama majibwa
Lazima, amehatarisha maisha ya watu na kuharibu uchumi wa nchi ndani ya siku chache sana...
Bandari zote zili stop kufanya kazi, oil refineries zote zili stop kufanya kazi...
Kampuni za tech zilisimama pia...

Na Iran iliipiga Israel sio to the level iweze ku collapse, lakini ingewezekana, US isingekuwa tayarikuiona Israel ina collapse...

Ceasefire imekuwa muhimu pia kwa Iran ili waji regroup na wao baada ya mashambulizi ya kushtukiza yaliyofanywa na mossad agents ndani ya Iran kwenye mitambo ya ulinzi wa anga....

Ile siku waziri wa mambo ya nje Iran kufika Moscow ilikuwa nadhani kuzungumzia suala la kupata zile SU35, maana marubani wanao wana mafunzo tayari na pesa cash wameshatoa... sijajua kwanini Russia imechelewa pengine ni issue ya Ukraine war n.k..

Ndio maana sasa Iran inajiandaa kuingiza ndege za China J10-C...

Hii vita wame pause tu lakini wataendelea muda si mrefu...
 
Urusi anataka kuichukua ukraine yote,kiduku anaongeza 25k soldiers, wakati huohuo Putin kaomba askari toka laos,so Putin huenda anahitaji silaha zaidi
Lakini mchina kishapeleka ndege 40 j-10, kasema hawezi kubali Iran ianguke na kupoteza $400b zake alizowekeza mashariki ya Kati
Wakati huohuo anataka ku-launch mfumo mpya wa miamala duniani na kasema unipolar haipo tena tujipange na multipolar
Kuna watu watapoteza ubingwa soon
 
No such thing , nonsense news za wajinga wajinga kama wewe ili mjisikie vizuri
We kweli fala.
Hapo juu hujaona andiko la Times of Israel??
Punguza ufala hiko hilo ni gazeti la times of Israel nakuwekea tena ili usome vizuri .
Screenshot_20250704-203331.png
Screenshot_20250704-203346.png

Usiwe mbishani wa kidini kiasi ukawa FALA wa kifikra.
Hiko ni chombo Cha Israel soma tena .
 
Acheni kuleta habari za uongo ingekuwa ni hivyo mbona ndio ingekuwa habari inayotrend Al-Jazeera. Ukiona Al-Jazeera wanatoa habari za gaza na Ukraine tu tambua hakuna hot news inayo trend duniani.
Ona huyu mpuuzi mwingine.
Aljazeera hawezi kutoa habari ya ndani namna hii kwasababu amekatazwa kuingia Israel.
Hiyo habari imetolewa na moja kati ya magazeti mama ya Israel linaloitwa "TIMES OF ISRAEL".
Nenda kabishane nao wenyewe mzee.
Screenshot_20250704-203346.png
 
We kweli punguani,media za israel ni times of israel, hareetz, channel 14, channel 13 etc
Sio tu punguwani msenge kabisa wa akili huyo.
Nimemletea habari kutoka TIMES OF ISRAEL anakwambia propaganda.
Ni sawa habari ya Tanzania iletwe na TBC1 halafu useme ni propaganda dhidi ya Tanzania.
 
Lazima, amehatarisha maisha ya watu na kuharibu uchumi wa nchi ndani ya siku chache sana...
Bandari zote zili stop kufanya kazi, oil refineries zote zili stop kufanya kazi...
Kampuni za tech zilisimama pia...

Na Iran iliipiga Israel sio to the level iweze ku collapse, lakini ingewezekana, US isingekuwa tayarikuiona Israel ina collapse...

Ceasefire imekuwa muhimu pia kwa Iran ili waji regroup na wao baada ya mashambulizi ya kushtukiza yaliyofanywa na mossad agents ndani ya Iran kwenye mitambo ya ulinzi wa anga....

Ile siku waziri wa mambo ya nje Iran kufika Moscow ilikuwa nadhani kuzungumzia suala la kupata zile SU35, maana marubani wanao wana mafunzo tayari na pesa cash wameshatoa... sijajua kwanini Russia imechelewa pengine ni issue ya Ukraine war n.k..

Ndio maana sasa Iran inajiandaa kuingiza ndege za China J10-C...

Hii vita wame pause tu lakini wataendelea muda si mrefu...
Tayari Iran inasemekana ameshapokea ndege 40 za j10C.
 
Urusi anataka kuichukua ukraine yote,kiduku anaongeza 25k soldiers, wakati huohuo Putin kaomba askari toka laos,so Putin huenda anahitaji silaha zaidi
Lakini mchina kishapeleka ndege 40 j-10, kasema hawezi kubali Iran ianguke na kupoteza $400b zake alizowekeza mashariki ya Kati
Wakati huohuo anataka ku-launch mfumo mpya wa miamala duniani na kasema unipolar haipo tena tujipange na multipolar
Kuna watu watapoteza ubingwa soon
Hizi ndege za J10 zilichukuliwa poa, ila sasa naona ni kama wanaanza kuziangalia kwa jicho lingine, nadhani ile issue ya Pakistan kuzishambulia Rafale za India ambazo zinatengenezwa na France ambazo ni ndege bora kabisa na hatari zaidi kuliko F-16s katika vita imepelekea watu wengi kumuangalia mchina kwa namna nyingine...

Kwa kweli Iran anahitaji hizi J10 kukabiliana na F-15 na F-16 za Israel...
Naona China hajajifikiria mara mbili kumpa dege vita Iran kwa kuihofia US kuanzisha vikwazo kwa sababu hadi sasa US anapeleka vifaa vya kijeshi Taiwan, hivyo ni win win situation...
 
Hiyo itadhibitiwa haraka sana!
Umesoma paragraph ya mwisho kuhusu activists walivyosema?

Wamelalamika miaka na miaka wafunge hiyo sehemu.
Na maradhi ya Asthma na cancer ipo juu sana kwa watu wa hapo.

Madhara hayajaanza leo ila walipopigwa ndio imeharibu kabisa
 
Hizi ndege za J10 zilichukuliwa poa, ila sasa naona ni kama wanaanza kuziangalia kwa jicho lingine, nadhani ile issue ya Pakistan kuzishambulia Rafale za India ambazo zinatengenezwa na France ambazo ni ndege bora kabisa na hatari zaidi kuliko F-16s katika vita imepelekea watu wengi kumuangalia mchina kwa namna nyingine...

Kwa kweli Iran anahitaji hizi J10 kukabiliana na F-15 na F-16 za Israel...
Naona China hajajifikiria mara mbili kumpa dege vita Iran kwa kuihofia US kuanzisha vikwazo kwa sababu hadi sasa US anapeleka vifaa vya kijeshi Taiwan, hivyo ni win win situation...
China hawezi ogopa vikwazo vya yeyote,sana sana imperialists ndio wanatatizika wakiona sehemu China ana Russia ameingiza miguu.
 
We kweli fala.
Hapo juu hujaona andiko la Times of Israel??
Punguza ufala hiko hilo ni gazeti la times of Israel nakuwekea tena ili usome vizuri .
View attachment 3395073View attachment 3395075

Usiwe mbishani wa kidini kiasi ukawa FALA wa kifikra.
Hiko ni chombo Cha Israel soma tena .
Siamini hizo dini zenu za mabeberu au makobazi, ni kwa watu wasiofikiria kama wewe
 
Hii itakuwa njema sana...
China nimemkubali...
China ni mtu ambaye hapendi kuihusisha nchi yake na vita direct,yeye ni mtu wa indirect,anakupa silaha anakupa financial aid pambana mwenyewe ila hakupi bure baadae lazima mfidiane.
 
Siamini hizo dini zenu za mabeberu au makobazi, ni kwa watu wasiofikiria kama wewe
Unaona ulivyo mpumbavu sasa!?
Masuala ya habari na dini yanakujaje!?
Times of Israel ni chombo cha Israel mama mambo ya dini yanakujaje!??
Fis Farras kabisa wewe!
 
China hawezi ogopa vikwazo vya yeyote,sana sana imperialists ndio wanatatizika wakiona sehemu China ana Russia ameingiza miguu.
Exactly..
Zamani China alikuwa ananunua silaha za US kupitia Israel, walikuwa ni kama wana ushirikiano flani wa kimaslahi...
Israel ilikuwa backdoor kwa China kuchukua silaha mbali mbali za US na kuzifanyia tafiti..
Lakini miaka ya 2000s mwanzoni US ilipiga marufuku Israel kumpa zilaha zake China...

Hivyo kwa sasa China haina tena maslahi na Israel kama ilivyokua hapo awali, hivyo kwa sasa Israel inamuhitaji China kuliko hata CHina inavyomuhitaji Israel...

Kwa hilo lazima pachangamke..
 
Back
Top Bottom