Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

Gesi kali aina ya Benzene imevuja na kutanda mjini Haifa, Israel baada ya Iran kulipua kituo cha usafishaji mafuta mjini humo

Uvujaji wa gesi hiyo imerikodiwa kuwa mara 100 ya kiasi kile cha kinachoruhusiwa hivyo kuhofia kuleta magonjwa ya kansa na pumu kwa wananchi waishio mji wa Haifa, Israel pamoja na uharibifu mkubwa wa mazingira ikiwemo uchafuzi wa hewa

View attachment 3393894

-----------------------------------------------------------

Carcinogenic emissions seen at monitoring stations on compound fence, at a high school. Bazan company says its own monitors show routine emissions that meet government standards\​

Benzene emissions that were 100 times higher than routine were measured around the compound of the Bazan Israel Oil Refineries on Sunday in Haifa, northern Israel, it was claimed, as the conglomerate returned to partial operation following damage to pipelines and transmission lines by Iranian missile strikes that also killed three workers.

The Haifa Bay Cities Association for Environmental Protection found the high readings at monitoring stations it maintains, including one on Bazan’s fence and another at a high school in the nearby city of Kiryat Ata.

Representatives of the association and the Environmental Protection Ministry paid a surprise inspection visit to Bazan and, according to the former, discovered that the high emissions of benzene, a carcinogen, were caused by restoration operations at the facilities damaged by the attacks

A statement from the ministry said Environmental Protection Minister Idit Silman, ministry director Rami Rosen, and the professional teams “view the unusual event at Bazan with great seriousness.” It said its Haifa District team had moved into the city’s association offices to be closer to Bazan and to work together to closely monitor the situation, and had ordered the company to conduct a probe.

Bazan, however, maintained that the monitoring stations within the compound, both on Sunday and Monday, showed regular benzene readings that met the state’s “strict” requirements.

Residents, environmental activists, and others have lobbied for years to have the Bazan compound closed and the materials it produces imported, due to both the heavy pollution it causes to the area — where cancer and asthma rates are high — and fears of disastrous consequences should it be struck.

Source: Times of Israel LINK

PS: Usimchokoze Muajemi
Wache wafe tu, isipo kuwa tunawaombea ndugu zetu wenye asili ya mji huo wa Haifa hio gas isiwadhuru, ikawadhuri ndugu zake Shetanyahu
 
Mkitandikwa mnaanza kulia kuwa anaua wanawake na watoto.

Na mnamjua Myahudi hajui kumwachia Mungu, lazima alipe kisasi
Hakuna mtu mbaya kwenye kisasi kama muajemi dunia hii,muulize Armenia alifanywa nini na Azerbaijan pale Nagorno-Karabakh.
Israel akijichanganya muajemi anazaa naye.
 
Hili sio shambulizi jipya hapana,bali ni matokeo ya shambulizi la zamani la vita ya siku 12 kabla ya kusitishwa mapigano.
Naona Israel wameshindwa kulificha hili,inavyoonekana kuna madhara mengine yatakuja kuonekana zaidi ya hili.
Kuna wajinga walisema humu oooh Iran anapiga pasi na malengo,nadhani malengo mnayaona sasa.
Screenshot_20250704-203346.png
Screenshot_20250704-203331.png
 
Mimi siyo Kobaz! Ila na wakati huo huo pia siwaungi mkono Mayahudi na mungu wake Marekani kwa tabia yao ya kupenda kuigeuza dunia kuwa uwanja wa fujo, mauaji ya watu wasio na hatia, na pia biashara haramu ya silaha.
 
Palishambuliwa kweli lakini ilikua June 15,
View attachment 3394096
Madhara yalikuwepo na watu watatu walikufa

Lakini palishaanza kufanya kazi toka June 29, full operation ni October
Madhara ya hao watu watatu yalikua siku ya shambulizi mkuu.
Ila hii leakage ya gesi yenye sumu ni ya baada ya shambulizi.
Inaonekana wanatakiwa wafanye matengenezo zaidi na marekebisho zaidi kabla hawajaruhusu paendelee na kazi zaidi.
 
Ushashiba ubwabwa wewe,kuanzia usiku huu mpk j3 kuna kipigo cha mbwa mwitu.
J3 jikoni uwepo hapa
 
Madhara ya hao watu watatu yalikua siku ya shambulizi mkuu.
Ila hii leakage ya gesi yenye sumu ni ya baada ya shambulizi.
Inaonekana wanatakiwa wafanye matengenezo zaidi na marekebisho zaidi kabla hawajaruhusu paendelee na kazi zaidi.
Hii taarifa huenda haikueleweka vizuri kwa waliosoma

Lakini hiki kowanda kwa miaka mingi sana kimekua kikilalamikowa na kutakiwa kufungwa kutokana na wakazi wa hilo eneo kulalamika kupata madhara makubwa, na pia ilishapigwa kura ya maoni kifungwe kutokana na madhara yanayotokea. Wananchi na wanaharakati walishaandamana kutaka hatua zichukuljwe pafungwe

2020 mahakama walipiga faini kutokana na kulipuka na kusababisha madhara 2016

2021 mwaka mmoja uliofata tena wakapigwa fine kwa kusababisha madhara makubwa

2022 mwaka uliofata baraza la mawaziri la Israel walipiga kura kiwanda kifungwe
 
Achana na sababu ulizozitaja, ripoti ya sasa inaonesha shambulizi la kombora limefanya kutokea leakage 100 times higher than usual.
Safari hii uvujaji wa hiyo carcinoma gas ni mara dufu kuliko kawaida.
Isome ripoti vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom