Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

China ni taifa ambalo linafikiria sana kuhusu aftermath.
China inajitosheleza angle nyingi sana japo sio zote,Israel hana umuhimu wowote kwa China sasa.
China ni mtu wa profit maximization tu.
 
China ni mtu ambaye hapendi kuihusisha nchi yake na vita direct,yeye ni mtu wa indirect,anakupa silaha anakupa financial aid pambana mwenyewe ila hakupi bure baadae lazima mfidiane.
Kwenye hizi vita China ametengeneza pesa ndefu sana...

Hii vita ya Ukraine na Russia, drone zinahusika kwa asilimia kubwa sana..

Ukraine na Russia wote wanatumia circuits kutoka China...

Vifaa vingi wanavyotumia ku assemble hizo drones ni kutoka China... hata Ukraine wanaona wa assemble drones zao kwa kutumia vifaa kutoka China....

China kwa kweli inazidi kupaa..
 
Furaha yangu ndio hii sasa, bora kukosa demu baba mwenda akapigwa hivi laaa safi
 
Hii ya moto.
 
Hii ndiyo ile,Kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kwaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…