Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kasi go Mujungu!Umeongea kuhusu wakerewe umenikimbusha zamani nilikuwa natumia jina la kijita nilikuwa naandika " Mzee Mjungu" halafu lilikuwa jina la mwenye gesti mpaka siku moja akaniita akaniambia kijana wangu acha hizo bana ipo siku mke wangu atakuja kukagua majina hapa halafu atajua ni mimi.
R.i.p Mzee Mjungu
Kumbe hata nyie hua mnaandikaga majinaLikud
Kwamba Likud ni mchawi au??Unatumia jina la mchawi😂
☺️ hunterKidire mboro
HaswaaKwamba Likud ni mchawi au??
Wewe mpwa wa mnara una vituko sana.Umeongea kuhusu wakerewe umenikimbusha zamani nilikuwa natumia jina la kijita nilikuwa naandika " Mzee Mjungu" halafu lilikuwa jina la mwenye gesti mpaka siku moja akaniita akaniambia kijana wangu acha hizo bana ipo siku mke wangu atakuja kukagua majina hapa halafu atajua ni mimi.
R.i.p Mzee Mjungu
Pascal MayallaNatumia Pasco Mayalla