Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kasi go Mujungu!Umeongea kuhusu wakerewe umenikimbusha zamani nilikuwa natumia jina la kijita nilikuwa naandika " Mzee Mjungu" halafu lilikuwa jina la mwenye gesti mpaka siku moja akaniita akaniambia kijana wangu acha hizo bana ipo siku mke wangu atakuja kukagua majina hapa halafu atajua ni mimi.
R.i.p Mzee Mjungu