Gesti za bongo

kuna moja ipo kigamboni maeneo ya vijibweni inaitwa PITA NA ZAKO hapo kila ukipita iwe mchana au usiku utakuta mapazia yamepandishwa juu na game zinaendelea kama kawa na hata ukipita na kuchungulia utasikia kwani wewe hujasoma jina hapo nje mshana Jr
 
kuna moja ipo kigamboni maeneo ya vijibweni inaitwa PITA NA ZAKO hapo kila ukipita iwe mchana au usiku utakuta mapazia yamepandishwa juu na game zinaendelea kama kawa na hata ukipita na kuchungulia utasikia kwani wewe hujasoma jina hapo nje mshana Jr
Kuna haja siku moja kujaza full tank na kufanya ziara kwenye hizi gesti zote zilizotajwa humu. ...jus for funny..!!!
 
mimi nishafanya ziara kibao mkuu mpaka mlandizi nimefika... Katika ziara yangu sitasahau guest house moja inaitwa Mkombozi Ipo tiptop manzese... Kuna Siku nilikuwa na binti mmoja nikaona nimpeleke viunga vile usiku kama wa saa sita hivi... Nikapita nae chochoro moja si tukakutana na rundo la madada poa, kilichotokea hapo mpaka tunaingia ndani tshrt niliovaa ilikuwa haitamaniki na binti wa watu hakuwa na viatu miguuni.
 
Manzese ni habari nyingine wee acha tu Sangret hiyo moja ina vyumba kama 40 hivi mlandizi pia nilishafika huko
 
Hahahahaha hapo kidume lazima ulale kama tyre used ya fiat (unajikunja)maana wanakutamanisha na wewe pakupata huduma huna,ilishanikuta hii Morogoro chumba cha jirani jamaa anapiga show halafu nilikuwa sina ujanja wakujua wanakopatikana dadazetu wale,nikaishia kumsomesha receptionist alikuwa mmama mtu mzima hivi akanitemea mimate eti kwamba sioni aibu,asubuhi nilivyomuona alivyo mzee,nikajisemea bora alivyokataa..aloo ujana ni nusu ya wendawazimu,nikikumbuka huwaga nacheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…