Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
naenda lunch niwapishe mdiscuss siasa nikirudi tunaendelea na get together yetu.
Yeah! Lets go! Ugali na Samaki utanifaa leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naenda lunch niwapishe mdiscuss siasa nikirudi tunaendelea na get together yetu.
naam!ila jana bwashee ulijipanga!isingekuwa jamaa kwenda kumbeba mgonjwa na 2k2k bila helmet tungeongeza raundi kazaaHahaha! Viwanda vya bia ni Full Umeme! Haviitegemei TANESCO. Labda viwanda vya banta!
Yeah! Lets go! Ugali na Samaki utanifaa leo.
Mimi nina wasiwasi Nyamayao anamaswaiba kama ya yule Mrs Mta...,hebu tuende taratibu jamani,tumshauri tu mwenzetu
jamani mie na kaizer, kaizer na mie, Nguli hataweza kuni handle kama nilivyozoeshwa na mr wangu...lol..
jamani mie na kaizer, kaizer na mie, Nguli hataweza kuni handle kama nilivyozoeshwa na mr wangu...lol..
Nao yu a tokingi!!
muulize!
i personally don't trust LEGENDS!huyu mtu mimi hapana
...ipo siku moja kwenye getitugedha utanitaka radhi laivu. sasa hivi nakuachia benefiti of dhe daut.
...ipo siku moja kwenye getitugedha utanitaka radhi laivu. sasa hivi nakuachia benefiti of dhe daut.
nitakuwa nimeshapiga zangu kadhaa!nitakutaka radhi tu bila aibu😀...ipo siku moja kwenye getitugedha utanitaka radhi laivu. sasa hivi nakuachia benefiti of dhe daut.
unauma na kupuliza siyo... hamna noma mkulu,nitakuwa nimeshapiga zangu kadhaa!nitakutaka radhi tu bila aibu😀
unatumia bia gani mkuu?
Mkuu SD nakutaka radhi kwa niaba ya GEOF ni utani tu mzee dont take it personal.
peace and love.
Nguli, nashukuru kwa kunikaribisha kundini. mimi nasepa mazee, anadha taim! Peace.
Naam nipo hapa...!
Hii get tugedha ilifanyika bongo that means wengine tunaoishi mabli we are automatically disqualified eh????
Baaaab' kubwa! Anajua kuogelea lakini?
Zidumu fikra za chama! Naona leo upo kama kawa.
Mpwa Masa yupo huko huko kwenye maji mengi mtaonana bila shaka.