Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

Waafrica wengi tuna amini utawala wa kiimla na wakifalme kwani tumetoka huko. If is very unfortunately hata sasa generation hii inatumbukia kwenye mawazo hayo ya kiimla. Watanzania wameaminishwa socialist ndio njia bora hata katiba yetu imeshindwa kuliweka hilo pembeni ndio unaona hata utawala uliopita ulijaribu kurudisha ujamaa, na siasa za kugombea uhuru, uzalendo, mabeberu nakadhalika na kuliweka Taifa kwenye mtego mgumu, ambao sasa Rais anajitahidi kulikwamua Taifa. Nchi hii inahitaji katiba mpya itakayo toa Taifa kwenye mrengo huo ambao kwa serious invester akisoma katiba yetu hataweza kudhubutu kufanya serious investment in this Country amboyo nguvu zote za maamuzi zipo kwa mtu mmoja ambae ni Rais. We need katiba inakayo define our path to our economy, power zirudi kwa wananchi and future tunayoitaka.
Mchawi wa nchi hii ni kijani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nakumbukaga maneno ya Gadafi " Obama mtoto wangu mwenye Asili ya kiafrika anataka kuniua...." last speech
Ni damu za watu ambao zilikuwa hazina hatia ambazo alikuwa amezimwaga kwa udini wake wa kufadhili na kutengeneza vikundi vya kigaidi kwa mataifa au viongozi wa mataifa waliokuwa na imani tofauti na ya kwake ndio zilimrudi. Kamwe huwezi ku survive kwa kumwaga damu za watu.
 
Ni damu za watu ambao zilikuwa hazina hatia ambazo alikuwa amezimwaga kwa udini wake wa kufadhili na kutengeneza vikundi vya kigaidi kwa mataifa au viongozi wa mataifa waliokuwa na imani tofauti na ya kwake ndio zilimrudi. Kamwe huwezi ku survive kwa kumwaga damu za watu.
Gadafi aliunda kikundi kipi cha kigaidi ?
 
Kwahy UN (French air Force ) nao walikuwa walibya😂
 
hauwezi kumfananisha Gaddafi na kiongozi yeyote hapa Africa.
Libya ilikuwa NUSU PEPO chini ya UONGOZI wa Gaddafi
 
Gadaffi alikuwa rais mzur sana ila alichobugi nikutaka kumuachia mwanae kiti cha urais
 
Wewe Andazi kweli kweli. Sisi kumkimbiza Amini nduli tulikuwa na haki ya kisheria
Sikiliza we andazi usiyejua chochote zaidi ya kujaza server za jamii forum kwa matapishi yasiyo na maana kwa mnavyolishwa kuwa huyu mwalifu wa kivita alikuwa mtu mwema wakati ni haini la hovyo kabisa

Amini alichokifanya kwa Tanzania ( sio kwa Nyerere) ni kuivamia nchi ambayo kwenye sheria za kimataifa inaitwa Crime of Aggression. Hivyo kwa mujibu wa sheria za kimataifa tulikuwa na wajibu wa kumfukuza , kumpiga na hata kumuua ikiwa ni kujilinda ( self defense) pamoja na kulipiza kisasi kwa kosa alililo lifanya.

Sasa niambie huyo mdini kutoka kaskazini mwa Afrika ambaye hatukuwa na mgogoro naye kilichomsibu kuja kutuua sisi ni nini? Sisi ndio tuliovamiwa na nduli, hivyo yeye ndiye aliyemtuma ili atimize ile azma yake ya kuibadilisha Afrika mashariki kuwa dola ya kiislam na kumsimika amini kuwa Amir wa afrika mashariki siyo?
Umeishiwa na arguments unayaonea maandazi, ulikuwa na njaa nini ndiyo kuwaza maandazi na chapati?

Hebu nenda kwanza ukajifunze argumentation skills halafu ndiyo uje hapa. Nenda kasome vizuri niliyoandika baadae ndiyo uje na hayo maandazi yako.
 
Kiongozi hata awe mzuri vipi, akipitiliza miaka 15 madarakani lazima aanze kufanya madudu.
Shida ni kwamba hata hii ya kubadilisha maraisi kila baada ya muda bado nayo huku kwetu africa haijasaidia, kila anayeingia anafanya madudu tu Hakuna Maendeleo Wala chochote.
 
Tatizo kila kiongozi mpya anapoingia huanza na ajenda zake, hataki kuendeleza ya mtangulizi wake.

Na mataifa mengi hayana vipaumbele vya kitaifa hivyo kila kiongozi huamua cha kufanya.
Ndiyo shida inapoanziaga, kila mmoja hautaka kuonekana yeye ndiyo yeye
 
Ila watu huwa tuna ujinga bila kujijua, hata ukibadili kiongozi kila baada ya mwaka mmoja bado haiwezi kufanya wote kupata hiyo nafasi ya uongozi.
 
Demokrasia sio kubadilisha sura tu za watu, ni pamoja na kubadilisha vyama na sera zisizoleta mabadiliko.
Tofauti na Senegal, Ghana na Botswana ambayo angalau imebaki inaonekana kama demokrasia ya kweli ya chama kimoja ni nchi gani nyingine Africa ambayo imekuwa "stable" democracy yenye muendelezo kwa zaidi ya miaka 20 sio tu ikibadilisha sura za watawala bali na vyama madarakani kwa njia ya uchaguzi huru wa haki na amani??
Shida ni kwamba hata hii ya kubadilisha maraisi kila baada ya muda bado nayo huku kwetu africa haijasaidia, kila anayeingia anafanya madudu tu Hakuna Maendeleo Wala chochote.
 
Back
Top Bottom