jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mchawi wa nchi hii ni kijani.Waafrica wengi tuna amini utawala wa kiimla na wakifalme kwani tumetoka huko. If is very unfortunately hata sasa generation hii inatumbukia kwenye mawazo hayo ya kiimla. Watanzania wameaminishwa socialist ndio njia bora hata katiba yetu imeshindwa kuliweka hilo pembeni ndio unaona hata utawala uliopita ulijaribu kurudisha ujamaa, na siasa za kugombea uhuru, uzalendo, mabeberu nakadhalika na kuliweka Taifa kwenye mtego mgumu, ambao sasa Rais anajitahidi kulikwamua Taifa. Nchi hii inahitaji katiba mpya itakayo toa Taifa kwenye mrengo huo ambao kwa serious invester akisoma katiba yetu hataweza kudhubutu kufanya serious investment in this Country amboyo nguvu zote za maamuzi zipo kwa mtu mmoja ambae ni Rais. We need katiba inakayo define our path to our economy, power zirudi kwa wananchi and future tunayoitaka.
#MaendeleoHayanaChama