Ghadhabu, mihemko, hasira na kuporomosha matusi bila sababu yoyote kwenye mijadala ya kisiasa chimbuko lake ni wapi?

Chimbuko lake ni ccm ni πŸ‘‰πŸ’©πŸ’©πŸ’©
kwamba CCM imefanya ufike ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya mipango yake makini ya kuwaletea Maendeleo right?πŸ’

kwamba unaletewa Maendeleo na CCM mpaka unachanganyikiwa right?πŸ’
 
Hata wachungaji madhabahuni wanakemea ma pepo kwa ukali.
Kuna kasumba ya kijinga sana kwa viongozi imeubuka na wewe imekuteka kasumba hiyo ya kijinga inaitwa KUKOSOA KISTAHARABU.
Nikawaida kuwasikiliza viongozi wakitamka kwamba wanataka wakoselewe kistaharabu, kitu ambacho hakiingii akilini.
Ukikosea hata kama kiongozi unatakiwa ukosolewe kiukali ikibidi hata kugombezwa.
Hata huku mitandaoni mkitoa mathreads yenu ya uchawa mtakula matusi sana hususani kutoka kwangu.
Kama wewe mwanzisha hii thread unaandikaga maupumbavu sana lazima utukanwe manake inaonekana unatumika kijinga
 
unaweza kunisaidia mbinu kadhaa za kupata mihemko na kuporomosha matusi kama unavyofanyaga always? maana katika vitu nashindwa kabisaa ni kua na chuki, hasira, ghadhab na kuporomosha matusi, hua una kula nini kwanza gentleman?🀣

hata hivyo sina nongwa hata kidogo, kutukanwa au kuporomoshewa matusi hasa na mtu ambae amefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbdala dhidi ya hoja zangu, hua nafurahiia sana kwasabubu you always hit below weight and height 🀣


viongoz wakosolewe kwa nguvu zote kistaarabu πŸ’
 
Maana ya matusi ni nini ? Na mfano wa matusi ni yapi ?
 
Acha kutoa post za kichawa ndugu hutaona mtu anakutukana.
Kumbe inakuuma mpaka umeamua kutoa threads.
Ishu sio kutumia kitu gani sijui jamii ina matatizo kibao yapo wazi yanajulikana serikali inashindwa kuyatatua halafu wewe unaleta threads zako za kusifia kitu cha uongo unatagemea huyu mtu aanze kuargue na wewe nini zaidi ya kufahamu tu huyu anatumika.
Yaani unakaa chini unatunga li thread lako ka kijinga halafu unategemea nikae nianze kufikirisha ubongo wangu nikujibu kwa busara boko zako.
Nyie watu sijui mmelishwa sumu gani huko yuo have to understand the principle of an eye for an eye. Ukileta ujinga unajibiwa ujinga manake nyie tena unabidi mtukanwe kabisa kwani ujinga mnaoleta mnajua kabisa na mnadhamiria na pia mnalipwa hizo buku7 . Ndio maana mnalipwa so endelea tu kuvumila matusi si uneamua kutumika kipumbavu na mshahara wake ndio huo. Stupid asshole
 
Kwa mfano unasikia kijana mdogo aliyekabidhiwa jukumu la kukusanya kodi zetu kwa ajili ya maendeleo yetu, yeye kazilundika kwake(7b) na hakuna kitu anafanywa. Kwanini mtu asitukane hovyo?
Mbwa na wezi wakubwa sana! Ni wa kunyongwa hadharai!
 
si utiririke tu vizur taratibu gentleman 🀣

unatambaa na mihemko kama kawaida dah 🀣

ni vuzuri ukajikita na kudeal na hilo wazo sio mimi. mimi nimetaka tu kufahamu chimbuko na hali ya maumivu na mateso unayoyapitia baada ya kufikia ukomo wako wa wazo jipya na fikra mbadala wa hoja zinazowasilishwa humu na wadau πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…