Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
ukipiga hoja yangu ya msingi chini ya weight and height, Lazima niangue kicheko aise siwezi acha,Umeulizwa swali, kama mleta mada unatakiwa ujibu sio kujichekesha tu mkuu. Kuleta mada ni lazima uwe na ngozi ngumu, uwe na uwezo wa kujibu hoja za watu, sasa ukijichekesha ovyo wakato umeleta mada nzuri ya kujadiliwa hatukuelewi.
Umeulizwa, kijana ameona mmoja wa waliopewa dhamana amekutwa na 7B fedha za walipa kodi, baada ya hayo hakuna hatua zozote za kisheria anazochukuliwa, unataka huyo kijana afanye nini? Achekecheke kama wewe? Akae kimya? Apaze sauti kwa namna gani ili asikike?
mtu yuko trapped kwenye hoja na dhahiri kabisaa anaonyesha ni victim mahususi niache kucheka kweli ndrugo zango?🤣
sifahamu kiundani alichoeleza muungwana,
na kwa hovyo sikua na haki ya kusema chochote, ikabidi nishangae tu, hivi kulikoni haya yote?
hata hivyo mihemko itasaidia nini kusolve issue yoyote ile hata kama ni hilo, kwa taifa la kistaarabu kama Tanzania?
hata muhalifu ana haki zake pia au?
ndio maana naona,
tunarudi kule kule,
kwamba ni muhimu ukifikia ukomo wa mawazo mapya kwamba huna jipya tena, na huna tena fikra mbadala kwa hoja mezani, ni afadhali kupumzika kufanya mambo mengine au kutafuta ushauri 🐒
Mihemko, ghadhab na kuporomosha MATUSI na kutukana inasaidia nini sasa? 🐒
ni miongoni mwa umaskini mpya wa kitumwa sana huo 🐒

