Ghadhabu, mihemko, hasira na kuporomosha matusi bila sababu yoyote kwenye mijadala ya kisiasa chimbuko lake ni wapi?

Vibaka wa ufipa hao wanao daiwa mabum!
 
Wewe ndio utakuwa unaishi kwa maumivu na mateso hadi umeamua kuwa chawa ili uweze kuishi..
Tatizo langu ni kuona machawa kama wewe unapotosha ukweli ambao upi kwenye jamii.
Acha uchawa wewe boya
 
Unajua maana ya kuchukia UOVU?

Yaani unapata wapi njia za kukemea Hawa wezi wa pesa za umma wenye kuumiza Watanzania Kwa upole?

Kwani Kuna mtu amekuzuia kutumia akili zako sawa sawa?
Hata Bwana Yesu alipoenda kwenye nyumba ya Ibada na kukuta biashara inafanyika humo...hakuwakemea kwa upole. aliwakemea kwa ukali
 
Wewe ndio utakuwa unaishi kwa maumivu na mateso hadi umeamua kuwa chawa ili uweze kuishi..
Tatizo langu ni kuona machawa kama wewe unapotosha ukweli ambao upi kwenye jamii.
Acha uchawa wewe boya
maumivu ya kuporomoshwe matusi na kutukanwa matusi mazito mazito kwa mihemko na ghadhabu za kiwango cha juu sana, si eti?🀣
 
Hata Bwana Yesu alipoenda kwenye nyumba ya Ibada na kukuta biashara inafanyika humo...hakuwakemea kwa upole. aliwakemea kwa ukali
kwahiyo anaweza kuingia mpaka hapa JF?πŸ’
 
Ulichagua mwenyewe kuwa chawa sasa ni nini kinakuuma
kinachoniuma zaidi nashindwa kabisaa kupata mihemko na ghadhabu ili nami niweze kuporomosha matusi na kutukana kama wewe gentleman ?πŸ’
 
Hapo ulipo umepanic mpaka umekimbilia kuleta uzi garmah.
tuelekezane ndrugo nzango, kweli mihemko mnafurahia wennyewe tu, hii si sawa hata kidogo aise πŸ’
 
Watu wana uchungu, huzuni na hasira za maisha magumu wanayoyapitia mitaani, maisha yaliyosababishwa na viongozi uchwara. Mfumuko wa bei, tozo zisizo na vichwa wala miguu, miondombinu dhaifu, kutokuwepo kwa ajira sio upungufu tena. Alafu hapohapo utakuta viongozi husika hata habari hawana wala kuonesha kujali au at least kuongelea hali halisi ya maisha ya Mtanzania wa kawaida.

Utakuta wanaongelea maswala ya kipuuzi na kutoa matamko ya ajabuajabu. Mara asilimia ya vyoo imepanda. Au utasikia mchezaji fulani kapewa million 20 kisa tu katupia mpira kwenye neti ya kamba au timu fulani imehaidiwa million 50 kwa kila goli. Alafu utakuta msomi mwenye degree yupo nyumbani mwaka wa 7 hana ajira. Lakini yule mkimbiaji uwanjani kapewa 20 million na kiongozi mkubwa wa nchi kwa kodi za wananchi. Msomi anajiuliza kwa lipi? Anakosa majibu, kilichobaki ni mvua ya matusi.

Mimi nina hasira na hili liserikali sababu mpaka leo hawajaruhusu PayPal itumike Tanzania. Vijana tunashindwa kutumia fursa za kimataifa ipasavyo. Kama nyie mtakula vya nchi, sawa. Basi tuachieni na sisi tutafute vya nje. But no, tunafungiwa humu ndani. Goddamnit!!!


Watu wanatukana watu wenye hoja za kipuuzi sababu hazileti maana, faida wala mabadiliko yoyote at the end. They don't care anymore. So be it. Fuk everybody.
 
tuelekezane ndrugo nzango, kweli mihemko mnafurahia wennyewe tu, hii si sawa hata kidogo aise [emoji205]
Pole ila nina ushauri kidogo,kama we ni mtu wa kujaa,achana na uchawa.Jifunze kwa ndumila kuwili yohana mbatizaji
 
dah,
Gentleman? 🀭
Umeulizwa swali, kama mleta mada unatakiwa ujibu sio kujichekesha tu mkuu. Kuleta mada ni lazima uwe na ngozi ngumu, uwe na uwezo wa kujibu hoja za watu, sasa ukijichekesha ovyo wakato umeleta mada nzuri ya kujadiliwa hatukuelewi.

Umeulizwa, kijana ameona mmoja wa waliopewa dhamana amekutwa na 7B fedha za walipa kodi, baada ya hayo hakuna hatua zozote za kisheria anazochukuliwa, unataka huyo kijana afanye nini? Achekecheke kama wewe? Akae kimya? Apaze sauti kwa namna gani ili asikike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…