Ghadhabu, mihemko, hasira na kuporomosha matusi bila sababu yoyote kwenye mijadala ya kisiasa chimbuko lake ni wapi?

ukipiga hoja yangu ya msingi chini ya weight and height, Lazima niangue kicheko aise siwezi acha,

mtu yuko trapped kwenye hoja na dhahiri kabisaa anaonyesha ni victim mahususi niache kucheka kweli ndrugo zango?🀣

sifahamu kiundani alichoeleza muungwana,
na kwa hovyo sikua na haki ya kusema chochote, ikabidi nishangae tu, hivi kulikoni haya yote?

hata hivyo mihemko itasaidia nini kusolve issue yoyote ile hata kama ni hilo, kwa taifa la kistaarabu kama Tanzania?
hata muhalifu ana haki zake pia au?

ndio maana naona,
tunarudi kule kule,
kwamba ni muhimu ukifikia ukomo wa mawazo mapya kwamba huna jipya tena, na huna tena fikra mbadala kwa hoja mezani, ni afadhali kupumzika kufanya mambo mengine au kutafuta ushauri πŸ’

Mihemko, ghadhab na kuporomosha MATUSI na kutukana inasaidia nini sasa? πŸ’

ni miongoni mwa umaskini mpya wa kitumwa sana huo πŸ’
 
Pole ila nina ushauri kidogo,kama we ni mtu wa kujaa,achana na uchawa.Jifunze kwa ndumila kuwili yohana mbatizaji
mimi siwezi kua mtu wa kubabaika hasa linapokuja suala la kusema ukweli muungwana πŸ’

nina majukumu mazito ya wanainchi jimboni pangu, nina majukumu binafsi muhimu sana ya kujiongezea kipato mathalani kufundisha huko mavyuoni kwenu, kuhubiri maeneo ya ibada, kulima mashamba na hivi sasa nipo shambani navuna, kazi ya mang'ombe ya nyama mnazokula huko mjini, kwa hayo machache na mengi,

ukiangalia vizuri mimi ni mtu naweza kubabaishwa, kuungana au kufananishwa na mwingine kweli?
surely 🀣

mihemko nitapata wapi sasa? kwamfano nimepata hasara kwenye ng'ombe, si kazi ya shamba au kufundisha inalipa tu na mambo yana nyooka au?🀣
 
Kushindwa hoja!
 
Umefikia kutafuta utetezi wa hoja zako,hoja zenu🫠
 
Wenye akili ndogo ndiyo hua huporomosha matusi bila sababu...


Cc: Mahondaw
inatakiwa wawe wastahimilivu na wenye subra,

lakini pia wafanye mazoea ya mara kwa mara ya kujizuia kuwaza kwa hisia kali, na kuamua kwa mihemko,

ambapo madhara yake ni pamoja na kujivunjia heshima mwenyewe, kutokuaminika tena na kupuuzwa na jamii πŸ’
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Umefikia kutafuta utetezi wa hoja zako,hoja zenu🫠
ukinifuatilia pole pole vizuri, ukiweka hisia na mihemko kando,
utachota maarifa, uelewa na ufahamu wa kutosha sana bure kabisaa kuhusu masula mbali mbali muhimu kwa ustawi wa maisha ya kawaida tu ya mwanadamu....

na itakusaidia sana kwakweli πŸ’
 
Kwa hoja zako hasa za utetezi dhidi ya wala kwa urefu wa kamba na chawa hata sihitajiπŸ˜‚
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
ndio maana saa zingine humu kuna watu wanafananishwa na nyumbu 🀣

kwamba ana miguvu mno,
lakini maamuzi yake ya mihemko na ghadhab zake humfanya kukamatwa kirahisi sana na wanyama wakali na saa zingine anakamatwa na kuliwa hata na mbweha tu 🀣

na wakati mwingine anaona kabisaa mwenzeke kanaswa kwenye tope anakufa, nae anajitupia humo humo kwenye tope 🀣
 
Kwa hoja zako hasa za utetezi dhidi ya wala kwa urefu wa kamba na chawa hata sihitajiπŸ˜‚
mimi si sehemu na wala si shabiki sana wa mijadala ya nyumbu au chawa,

labda nijifunze kiundani then nije na c theory kuona hizo dhana zina siri gani ndani yake,

na kwamba hizo dhana zinaweza kua ndio chimbuko la mihemko, ghadhab, hasira, matusi na kutukana bila sababu yoyote?πŸ’
 
una hoja za maana na muhimu sana na ndani yake inabidi nicheke tu 🀣

sasa ndugu graduate,
alternative strategies ya kujikwamua au kubadilisha masula muhimu uliyoyaibua kwenye hoja yako ni mihemko, ghadhab, hasira, matusi na kutukana kweli?πŸ’

why don't you organized yourselves hata kama mkiwa watu 20 kwa kuanzia,

then you come up with detailed and comprehensive youths demands and present it to every publics, spiritual, NGOs, national and international institutions with specific time frame that, they gvt should be fullfil them immediately, otherwise other mass youth actions will be taken upon any delay? Kistaarabu kabisaa lakini πŸ’
 
You are among those always say why don't you employ your self.At the same time you are saying leave me alone,if not us πŸ€”
 
We endelea na uchawa ila jitahidi kuwa mvumilivu
 
We endelea na uchawa ila jitahidi kuwa mvumilivu
nadhani kukubali ukweli wa mambo bila mihemko wala matusi ni jambo muhimu zaidi,

na inapaswa kua ndani ya mwili na roho ya kila moja wetu..

hiki ni kitu cha maana zaidi
 
You are among those always say why don't you employ your self.At the same time you are saying leave me alone,if not us πŸ€”
if you are perceiving me and others like that, it is up to you....

but i have done my job in trying to build up your confidence in confronting your social, political and economic challenges and demands
 
badhani kukubali ukweli wa mambo bila mihemko wala matusi ni jambo muhimu zaidi kua ndani ya mwili na roho ya kila moja wetu, hiki ni kitu cha maana zaidi
Uchague mwenyewe kuwa chawa alafu wakikupiga spana unapanic,ndo maisha uliyoyachagua kubaliana na hali na sio kuanzisha nyuzi ambazo zinaonesha kabisa we ni chawa asiye mvumilivu.
 
Uchague mwenyewe kuwa chawa alafu wakikupiga spana unapanic,ndo maisha uliyoyachagua kubaliana na hali na sio kuanzisha nyuzi ambazo zinaonesha kabisa we ni chawa asiye mvumilivu.
spana au mihemko, kutukana na kuporomosha matusi?
 
if are perceiving me and others like that, it is up to you....

but i have done my job in trying to build up your confidence in confronting your social, political and economic challenges and demands
It's up to me and dotted animal say as well🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…