Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea vizuri, ila hii kusema eti ni mwiko kuchelewesha invoice ni uongo na ujinga.Hakuna hard days kwa tanzania hata siku moja, mh. Anakopa kwa kasi kwa wakati huu ili kumaliza miradi iliyoanzishwa jana, kwani muanzishaji alikuwa ameitimiliza kwa asilimia 15-25 tu, tukumbuke miradi ilikuwa ni mingi iliyoanzishwa kwa mkupuo, na isiyowezekana kusitishwa kwa aina ya mikataba yake ambayo mingi ilikuwa migumu kweli baadhi ikiwa ni mwiko kuchelewesha malipo mara baada ya invoice kutolewa, ukichelewesha inakula mazima, point tunakopa tuikamilishe, kazi ibakie kulipa na shughuli za kimaendeleo kwanza without launching heavy projects, which is good too!, uzuri tutakuwa na grace period nzuri sana kulipa, times will comes our nation will breath well.
#Stay tune, kuna akili kubwa zinafanya kazi awamu ya sita.
::Jamaa yao alikopa kweli kwa miradi hii, sisi tunakopa tukamilishe inakuwa nongwa!
Na sasa tunaona kabisa tunateleza ua tunaona tuko sawa kwa kila tunalolifanya? Ndio maana nikauliza nani wa kuitahadharisha serikali katika kasi yake ya kukopa? Ni nani hasa anayeitathmini demand ya nchi kukopa au kutokopa?Uongozi wa nchi ni tofauti na uongozi wowote ule, sasa anapopewa uongozi wa nchi mtu yeyote matokeo yake ndio kama haya.
Na hakika huko tunakoenda lazima tuje tujiulize ni wapi tulipotelezea wakati huo tutakua chini tayari tumeshaanguka.
Hawa wana exports nyingi. Kuingia kwenye default sio kuwa na deni kubwa. Ni kukosa foreign currencies hasa USD za kulipia hilo deni. Kenya wana deni kubwa lakini pia wanapata dola nyingi kwa kuwa wana exports nyingi za madawa na consumer goods ndani ya EAC na COMESA, exports za maua na Chai kwenda nchi za Ulaya na hizo zote huwapatia fedha za kigeni za kuhudumia deni lao la nje.Hapo na. 8, je umesahau kilichompata Job hivi tu karibuni?
Kama unataka kuanzisha vuguvugui hadharani, anga ndg kabisa.
Note: Next to Ghana ni Kenya
Wewe ni mchumi na umewahi kusoma impact analysis? Utajenga mradi wa bilioni 500 katika ngazi ya Wilaya? Una idea yoyote namna miradi ya maji ilivyo (ujenzi na uendeshaji wake)? Uwekezaji katika elimu, afya na maji unaita minor???Sababu zako kwenye 1(a), (b) na (c) ni minor sana na haziwezi kutuokoa popote. Hayo ni maeneo ambayo tunayaweza na hayahitaji kuyakopea. Ungeniambia kuna mradi mkubwa wa maji kama ule wa Arusha au ule wa Shinyanga miaka ile ya mwisho wa utawala wa Ben Mkapa uliotoa maji kutoka ziwa Victoria, basi ningekuelewa. Nitajie mradi mmoja wa maji uliojengwa au ulioanzishwa kwa mkopo ule wa 1. 3T. Kwa upande wa elimu ungesema kuna chuo kikuu tumejenga,basi ningekubali kidogo lakini pia miradi kama hiyo haiwezi kuokoa uchumi wa nchi. Watafaidika wazabuni, baada ya hapo, hadithi inaisha.
Kwa sehemu zingine na michango yako mingine juu ya uzalishaji, nakubaliana nayo.
Kuna makosa ya kiuchumi yamefanyika huko nyuma ambayo naamini tukiyarekebisha, tutaweza luwa na exports zitakazotusaidia kupata fedha za kigeni na kuepuka kutegemea mikopo na misaada ili kupata fedha za kigeni.
Makosa yenyewe ni:
1. Kupuuzia ama kupunguza nguvuuzalishaji wa mazao ya biashara kama kahawa, pamba, katani na chai
Ushauri wangu ni kama tunaweza, turudishe nguvu huko. Zitatuokoa hizo.
2. Kupuuzia uzalishaji wa mazao kama alizeti, michikichi, ngano, miwa. Kwa sasa nashauri turudishe nguvu huko ili tusitumie dola chcahe tunazopata kununua mafuta kutoka nje, sukari kutoka nje, ngano kutoka nje. Dola zetu zitumike kununua vitu kama mafuta ya petroli na bidhaa zake ambazo hatuna namna.
tuzalishe bidhaa katika level ya kibepari.
Na kinachotufanya tupumue hata sasa na juhudi zilizofanyika katika kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya chakula kama mahindi na mchele. Bila hivyo, tungekuwa tunatumia dola chache tulizo nazo kununua hata mahindi kutoka nje.
Mchawi ni economic mismanagement na kudhani kwamba kuna mtu huko nje anatupenda sana kuliko tunavyojipenda.
Makosa mengine ni kuruhusu viwanda vya kimkakati kama General Tyre ya Arusha kufa. Ni kiasi gani cha dola kinatumika kununua matairi kutoka nje? Mishandling ya kiwanda cha makaratasi Mgololo-Mufindi; ni kiasi gani cha dola tunatumia kununua makaratasi na malighafi ya madaftari kutoka nje? Kama tuliruhusu wawekezaji, matokeo chanya yako wapi?
Makosa mengi ni kupendelea kuuza zaidi malighafi kuliko kuchakata na kuuza bidhaa. Mifano ni kuuza mahindi badala ya unga, starch, maltose, glucose etc, kuuza matunda badala ya juice etc.
Utujuze sasa. Mbona maneno matupu mengi. Chuo cha Tehama kiko wapi? Si ndio kwanza kimetajwa kwenye bajeti ya 2022/2023?Wewe ni mchumi na umewahi kusoma impact analysis? Utajenga mradi wa bilioni 500 katika ngazi ya Wilaya? Una idea yoyote namna miradi ya maji ilivyo (ujenzi na uendeshaji wake)? Uwekezaji katika elimu, afya na maji unaita minor???
Kabla ya kuandika kitu sharti la kwanza ni kutafuta information/fact juu ya hilo unaloandika. Mimi sipo Tanzania lakini najua kuna miradi zaidi ya 200 inayotekelezwa na Fedha za uviko. Yes, kuna pesa zimeenda kwenye VETA na ujenzi wa chuo Kikuu cha Tehama Dodoma na chuo Kikuu kingine cha Afya Mloganzila. Who is wazabuni kwako wewe? Usianzishe mada huku una majibu yako kichwani, wacha wanaoelewa kinachoendelea wakujuze maana wewe hukutaka kujishughulisha ujue.
Hao ni ma taahira wenye chuki binafsi na SSH usiumize kichwaHivi nyie mnajua Serikali iliyoshindwa kumanage uchumi? Uchumi unaoshindwa unawezaje kuwa na data zinazoongezeka za matumizi ya saruji na vifaa vya ujenzi?
Wewe kwa nini hujalima na kusafirisha nyama nje?Kwa sasa wawekezaji ni wa kuja kulima parachichi na kusafirisha wanyama hai .poor us
Sasa umeandika nini mbona kama unsharisha?Watu wengi wapumbavu hawapendi mambo ya Msingi na ndio wanaotuongoza,wenye akili hawapewi nafasi na wapumbavu hivyo unaweza ukaona danadana zilizopo ni ujinga ujinga na mizaha kwenye maisha ya watu
Hakuna Kasi yoyote kwenye Kukopa ,pia Kukopa kunaendana na kulipa..Na sasa tunaona kabisa tunateleza ua tunaona tuko sawa kwa kila tunalolifanya? Ndio maana nikauliza nani wa kuitahadharisha serikali katika kasi yake ya kukopa? Ni nani hasa anayeitathmini demand ya nchi kukopa au kutokopa?
Je ni sawa kukopa tu kwa sababu deni ni sustainable? Na hii sustainable si kwa wakati huu tu? Miaka mitatu itakuwaje kama tukiendelea kukopa mikopo ambayo haiendi kwenye maeneo yenye kuzalisha foreign currencies kwa miaka ijayo ili kutusaidia kulipa deni?
Miaka 5 hakuna Veta hata Moja ikikengwa ikakamilika na Mwendazake bali amekamilisha Rais Samia ile beta ya Kagera na nyingine 5 zinaendelea kukamilishwa kwenye Mikoa mipya..Utujuze sasa. Mbona maneno matupu mengi. Chuo cha Tehama kiko wapi? Si ndio kwanza kimetajwa kwenye bajeti ya 2022/2023?
VETA zetu pia zina hali mbaya. Mkopo ulienda kufanya nini? Kama hujawahi kuona institutional mismanagement, basi take the study case of VETA.
Rais Samia ni genious na ndio ataivusha hii Nchi..Kuna makosa ya kiuchumi yamefanyika huko nyuma ambayo naamini tukiyarekebisha, tutaweza luwa na exports zitakazotusaidia kupata fedha za kigeni na kuepuka kutegemea mikopo na misaada ili kupata fedha za kigeni.