Tatizo sisi tupo kimaslahi zaidi na si uchungu wa nchi. Watu wapo tayari kuwekana kuanzia kwenye ngazi ya urais mpaka udiwaniUongozi wa nchi ni tofauti na uongozi wowote ule, sasa anapopewa uongozi wa nchi mtu yeyote matokeo yake ndio kama haya.
Na hakika huko tunakoenda lazima tuje tujiulize ni wapi tulipotelezea wakati huo tutakua chini tayari tumeshaanguka.