Ghana wamefikia default; IMF wamesema watawadhamini. Je, tupo salama kiuchumi huko tuendako?

Uongozi wa nchi ni tofauti na uongozi wowote ule, sasa anapopewa uongozi wa nchi mtu yeyote matokeo yake ndio kama haya.

Na hakika huko tunakoenda lazima tuje tujiulize ni wapi tulipotelezea wakati huo tutakua chini tayari tumeshaanguka.
 
Umeongea vizuri, ila hii kusema eti ni mwiko kuchelewesha invoice ni uongo na ujinga.
Kukopa sio shida as long as inaenda kwenye miradi ya maendeleo
 
Uongozi wa nchi ni tofauti na uongozi wowote ule, sasa anapopewa uongozi wa nchi mtu yeyote matokeo yake ndio kama haya.

Na hakika huko tunakoenda lazima tuje tujiulize ni wapi tulipotelezea wakati huo tutakua chini tayari tumeshaanguka.
Na sasa tunaona kabisa tunateleza ua tunaona tuko sawa kwa kila tunalolifanya? Ndio maana nikauliza nani wa kuitahadharisha serikali katika kasi yake ya kukopa? Ni nani hasa anayeitathmini demand ya nchi kukopa au kutokopa?
Je ni sawa kukopa tu kwa sababu deni ni sustainable? Na hii sustainable si kwa wakati huu tu? Miaka mitatu itakuwaje kama tukiendelea kukopa mikopo ambayo haiendi kwenye maeneo yenye kuzalisha foreign currencies kwa miaka ijayo ili kutusaidia kulipa deni?
 
Hapo na. 8, je umesahau kilichompata Job hivi tu karibuni?
Kama unataka kuanzisha vuguvugui hadharani, anga ndg kabisa.
Note: Next to Ghana ni Kenya
 
Hapo na. 8, je umesahau kilichompata Job hivi tu karibuni?
Kama unataka kuanzisha vuguvugui hadharani, anga ndg kabisa.
Note: Next to Ghana ni Kenya
Hawa wana exports nyingi. Kuingia kwenye default sio kuwa na deni kubwa. Ni kukosa foreign currencies hasa USD za kulipia hilo deni. Kenya wana deni kubwa lakini pia wanapata dola nyingi kwa kuwa wana exports nyingi za madawa na consumer goods ndani ya EAC na COMESA, exports za maua na Chai kwenda nchi za Ulaya na hizo zote huwapatia fedha za kigeni za kuhudumia deni lao la nje.
 
Kuna makosa ya kiuchumi yamefanyika huko nyuma ambayo naamini tukiyarekebisha, tutaweza luwa na exports zitakazotusaidia kupata fedha za kigeni na kuepuka kutegemea mikopo na misaada ili kupata fedha za kigeni.
Makosa yenyewe ni:
1. Kupuuzia ama kupunguza nguvuuzalishaji wa mazao ya biashara kama kahawa, pamba, katani na chai
Ushauri wangu ni kama tunaweza, turudishe nguvu huko. Zitatuokoa hizo.
2. Kupuuzia uzalishaji wa mazao kama alizeti, michikichi, ngano, miwa. Kwa sasa nashauri turudishe nguvu huko ili tusitumie dola chcahe tunazopata kununua mafuta kutoka nje, sukari kutoka nje, ngano kutoka nje. Dola zetu zitumike kununua vitu kama mafuta ya petroli na bidhaa zake ambazo hatuna namna.
tuzalishe bidhaa katika level ya kibepari.
Na kinachotufanya tupumue hata sasa na juhudi zilizofanyika katika kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya chakula kama mahindi na mchele. Bila hivyo, tungekuwa tunatumia dola chache tulizo nazo kununua hata mahindi kutoka nje.
Mchawi ni economic mismanagement na kudhani kwamba kuna mtu huko nje anatupenda sana kuliko tunavyojipenda.
Makosa mengine ni kuruhusu viwanda vya kimkakati kama General Tyre ya Arusha kufa. Ni kiasi gani cha dola kinatumika kununua matairi kutoka nje? Mishandling ya kiwanda cha makaratasi Mgololo-Mufindi; ni kiasi gani cha dola tunatumia kununua makaratasi na malighafi ya madaftari kutoka nje? Kama tuliruhusu wawekezaji, matokeo chanya yako wapi?
Makosa mengi ni kupendelea kuuza zaidi malighafi kuliko kuchakata na kuuza bidhaa. Mifano ni kuuza mahindi badala ya unga, starch, maltose, glucose etc, kuuza matunda badala ya juice etc.
 
Wewe ni mchumi na umewahi kusoma impact analysis? Utajenga mradi wa bilioni 500 katika ngazi ya Wilaya? Una idea yoyote namna miradi ya maji ilivyo (ujenzi na uendeshaji wake)? Uwekezaji katika elimu, afya na maji unaita minor???
Kabla ya kuandika kitu sharti la kwanza ni kutafuta information/fact juu ya hilo unaloandika. Mimi sipo Tanzania lakini najua kuna miradi zaidi ya 200 inayotekelezwa na Fedha za uviko. Yes, kuna pesa zimeenda kwenye VETA na ujenzi wa chuo Kikuu cha Tehama Dodoma na chuo Kikuu kingine cha Afya Mloganzila. Who is wazabuni kwako wewe? Usianzishe mada huku una majibu yako kichwani, wacha wanaoelewa kinachoendelea wakujuze maana wewe hukutaka kujishughulisha ujue.
 

upo timamu.

Kudos mkuu[emoji1545]
 
Utujuze sasa. Mbona maneno matupu mengi. Chuo cha Tehama kiko wapi? Si ndio kwanza kimetajwa kwenye bajeti ya 2022/2023?
VETA zetu pia zina hali mbaya. Mkopo ulienda kufanya nini? Kama hujawahi kuona institutional mismanagement, basi take the study case of VETA.
 
Kwa sasa wawekezaji ni wa kuja kulima parachichi na kusafirisha wanyama hai .poor us
 
Watu wengi wapumbavu hawapendi mambo ya Msingi na ndio wanaotuongoza,wenye akili hawapewi nafasi na wapumbavu hivyo unaweza ukaona danadana zilizopo ni ujinga ujinga na mizaha kwenye maisha ya watu
Sasa umeandika nini mbona kama unsharisha?
 
Hakuna Kasi yoyote kwenye Kukopa ,pia Kukopa kunaendana na kulipa..

Mwaka huu Serikali inakopa Til.7 inalipa Til.9 kuna Kasi gani hapo wakti hata hatujafikia hata 40%
 
Miaka 5 hakuna Veta hata Moja ikikengwa ikakamilika na Mwendazake bali amekamilisha Rais Samia ile beta ya Kagera na nyingine 5 zinaendelea kukamilishwa kwenye Mikoa mipya..

Mwaka huu wa Fedha veta mpya 30 zinaanza kujengwa sanjali na chuo Cha TEHAMA.
 
Rais Samia ni genious na ndio ataivusha hii Nchi..

Soma hiyooo πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220726-180947.png
    190.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220726-181133.png
    174.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220726-181247.png
    131.5 KB · Views: 4
Kukop Harusi, kulipa matanga: Kosa ni pale nchi inakop[a pesa ambazo hazizalishi, etu unmtu anakopa pesa za kujengea vtyoo, au hela za kulipia viongozi poshoa za mikutano na safari.

After Lanka, Pak on verge of loan default

New Delhi, July 9


After Sri Lanka and Zambia defaulted on their sovereign reserves and are also left with no forex reserves, Pakistan could be among the next lot of countries to face a difficult time, according to international rating agencies.

Turkey, Egypt, Tunisia, Ethiopia, Pakistan, Ghana and El Salvador are in immediate danger of being unable to repay debts, according to Bloomberg, which expects a cascade of defaults among emerging markets due to rising energy and food prices and global interest rates.

On the other hand, Fitch Ratings has identified 17 countries, which could be on the verge of default. Russia has been included in the list because despite having the money, it has been unable to pay its foreign creditors due to sanctions. β€” TNS

Others on list

Lebanon, Tunisia, Ghana, Ethiopia, Ukraine, Tajikistan, El Salvador, Suriname, Ecuador, Belize, Argentina, Russia, Belarus and Venezuela

Tunisia na Venezuela wana mafuta lakini yanatumika vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…