Ghana wamefikia default; IMF wamesema watawadhamini. Je, tupo salama kiuchumi huko tuendako?

Attachments

  • Screenshot_20220726-201112.png
    126.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220726-232227.png
    149.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220726-230353.png
    179.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220726-181412.png
    90.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220726-181340.png
    106.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220726-154127.png
    109.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220716-185244.png
    147.5 KB · Views: 2
Umeona Tanzania imetajwa popote?

Ndio maana narudia tena kusisitiza kwamba Magufuli kufa ameisaidia Sana Nchi maana kwa mda aliokaa madarakani amekopa Sana mikopo mikubwa ya kibiashara kwa pupa lengo ni kujenga mamiradi yasiyo na faida bali sifa za kijinga Kwa gharama ya Nchi..

Hiyo Ghana and the likes wamefika huko kwa sababu ya kukurupukia mamiradi makubwa wakati wao ni makini..

Ghana sio Nchi ya kuwa na Interchange kama hii hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • VID-20220727-WA0000.mp4
    6.5 MB
Hao ni ma taahira wenye chuki binafsi na SSH usiumize kichwa
Unakuwaje na chuki binafsi na Rais wa nchi? Acha kuchangia kwa hisia.
Watu kama ninyi mkimzunguka kiongozi mnaishia kuitumbukiza nchi shimoni. Mnaishia kuwa chawa na kumpotosha kiongozi.
 
Miradi mikubwa ndiyo itafilisi nchi muda si mrefu
Miradi mikubwa itakayo facilitate sekta ya uzalishaji Haina shida. Mleta mada anashauri tukikopa basi tuimarishe miundombinu ya umwagiliaji, umeme uwashwe Kwenye migodi ya wachimbaji wadogo, Ili kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza tija, sekta ya usafirishaji kama reli na barabara za vijijini zipewe kipaumbele then kama nchi tutaweza Kuzalisha na ku export zaidi na hatimaye kupata fedha za kigeni nyingi Kwa ajili ya kulipa madeni.

Mimi sio mjuaji wa maswala ya kiuchumi lkn IMF wamekadiria kiwango Cha recession Kwa 8.5,% ktk nchi za ulaya na ukuaji wa uchumi projection yake ni 3.2%. manake Inflation inakwenda kupanda zaidi ya hapa.

Tumshukuru sana marehemu JPM Kwa kutuvusha salama kipindi Cha COVID bila lockdown. Kinachotakiwa ni kuchapa kazi Kwa Kuzalisha zaidi Ili tutumie masoko ya bidhaa zetu hasa za chakula ktk nchi zinazotuzunguka
 
Alituvusha salama watu hawakufa?
 

Uchumi wetu hauwezi kuzalisha bidhaa za kutosha kulipa hayo madeni. Tuna uchumi mdogo na hata ukikua kwa asilimia 20% hautoshi. Wenzetu waliboresha miundo mbinu baada ya kuboresha uchumi, sisi tunataka kuboresha miundo mbinu halafu tuboreshe uchumi.
 
Shida kubwa ipo kwenye katiba.... Tunahitaji rasimu ya warioba ifanyiwe mchakati na si kubadilishwa .

tukisema katiba mpya naskitika kusema wapumbavu wanasema ni ya chadema.

faida ya katiba mpya ni kuondoa unafki...yaan unafki wa kusifia ujingi ili upate teuzi ama upendeleo kwa mamlaka...

sasa hata wenye akili inabidi wawe wapumbavu kwasababu ya usalama na ubinafsi wao
 
Angalia kwenye ripoti za BoT, ni bidhaa gani zinatuletea fedha za kigeni kwa wingi na zipi zinachukua fedha za kigeni wingi.
So unataka tukope tuwekeze kwenye uzalishaji wa hizo bidhaa!?..zinatengenezwa bila elimu..yaani kwa mazingaombwe!?..tukishatengeneza tutzisambazaje!?
 
Uchumi wetu hauwezi kuzalisha bidhaa za kutosha kulipa hayo madeni. Tuna uchumi mdogo na hata ukikua kwa asilimia 20% hautoshi. Wenzetu waliboresha miundo mbinu baada ya kuboresha uchumi, sisi tunataka kuboresha miundo mbinu halafu tuboreshe uchumi.
Utaboreshaje uchumi bila kuuboresha miundo mbinu!?..yaani ujenge viwanda Kisha ndo ujenge miundo mbinu ya umeme,barabara,huduma za fedha!?..au unamaanisha nini!?..miundo mbinu ni Kama mishipa ya damu mwilini,ni kitu Cha kwanza,bila hivyo mazao yataozea shamba
 

Tayari tuna umeme na barabara zaidi na walizokuwa nazo Wazungu walivyofanya mapinduzi ya viwanda (industrial revolution) karne ya 18. Miundo mbinu ya Bangalore India ilijengwa kabla au baada ya wawekezaji kufika? Airport walijenga lini? Treni walijenga lini? Vyote vilikuja baada ya wawekezaji kuja.
 
Nguvu kubwa izidishwe kwenye miradi mikubwa ,yenywe ndo itakuwa na impact kubwa sana huku mbeleni .Sio kukopa sana kwa vitu vya huduma tu kama sasa.
Sasa jombi kama Taifa lako limefikia kukopo kwa kisingizio cha vita ya Ukraine na Russia si kuna siku watakopa kwasababu ya nguvu za kiume!
 
Tukitegemea sana sera za kupewa na WB na IMF tusitegemee chochote. Wale hutupa sera za kijasusi kuhakikisha tunakuwa katika mzunguko wa umaskini na utegemezi. Na ukishafikia default kurudi katika utulivu ni ngumu sana. Mfano mzuri ni Argentina.
 
Ninachokiona miaka michache sana ijayo nchi nyingi za dunia ya tatu zitaparaganyika kiuchumi Kama Sri Lanka, nawaza ni hatua gani mtu binafsi anaweza kuilinda familia yake nchi ikiingia kwenye hali hio?
 
He
Hebu jisikilize Kisha unijibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…