Tatizo sisi tupo kimaslahi zaidi na si uchungu wa nchi. Watu wapo tayari kuwekana kuanzia kwenye ngazi ya urais mpaka udiwaniUongozi wa nchi ni tofauti na uongozi wowote ule, sasa anapopewa uongozi wa nchi mtu yeyote matokeo yake ndio kama haya.
Na hakika huko tunakoenda lazima tuje tujiulize ni wapi tulipotelezea wakati huo tutakua chini tayari tumeshaanguka.
Nguvu kubwa izidishwe kwenye miradi mikubwa ,yenywe ndo itakuwa na impact kubwa sana huku mbeleni .Sio kukopa sana kwa vitu vya huduma tu kama sasa.
Kutunza wealth katika mfumo WA non depreciating assets kama (viwanja ,mashamba )/real estates na precious metal specifically dhahabu na kiasi flani silver NK ,wengi wanaojiita matajiri uchwara kibongo ikija real inflation inasomba more than 80 percent ya utajiri wao ,hasa kama bado unaushamba WA kuhifadhi wealth katika paper money.Ninachokiona miaka michache sana ijayo nchi nyingi za dunia ya tatu zitaparaganyika kiuchumi Kama Sri Lanka, nawaza ni hatua gani mtu binafsi anaweza kuilinda familia yake nchi ikiingia kwenye hali hio?
Umekuja kuongea uozo wakoHizo GDP zao walizipata kwa madeni ya kibiashara kama alivyokuwa anataka kufanya Mwendazake..
Walikurupukia mamiradi makubwa wakati ni Maskini kama tuu alivyofanya Mwendazake..
Kwa hiyo kufa Mwendazake ni nafuu maana unapokopa lazima uwe na rasilimali za kulipa.
Ghana ana mafuta na dhahabu na Kakao lakini amezidiwa na deni kwa sababu ya kukurupukia mamiradi hewa kama huu wa sgr na Bwawa la Nyerere bila kujipima..
Wewe ni kubwa jinga.. Unadhani Ghana imefika hapo kwa sababu ipi?Umekuja kuongea uozo wako
Unaongea sana huyo Samia wako hana uwezo wa kumzidiMagufuli kwa chochote hata yeye alishakiri!VETA ya Geita imejengwa na kukamilika wakati wa Magufuli hata hiyo ya Kagera imekamilika mwaka 2021! Samia anahusikaje hapo?Miaka 5 hakuna Veta hata Moja ikikengwa ikakamilika na Mwendazake bali amekamilisha Rais Samia ile beta ya Kagera na nyingine 5 zinaendelea kukamilishwa kwenye Mikoa mipya..
Mwaka huu wa Fedha veta mpya 30 zinaanza kujengwa sanjali na chuo Cha TEHAMA.
Uwezo sio maneno bali matendo na matokeo..Unaongea sana huyo Samia wako hana uwezo wa kumzidiMagufuli kwa chochote hata yeye alishakiri!VETA ya Geita imejengwa na kukamilika wakati wa Magufuli hata hiyo ya Kagera imekamilika mwaka 2021! Samia anahusikaje hapo?
Watu wana uraia pacha....sidhani kama inawahusu hii!Kama tunaweza kuepuka, tuepuke.
Mkuu, nadhani hiki ni kipindi kizuri kujifunza kuwa kumbe nchi yako ndio the best to stay. Yaani hali inayoendelea sasa duniani inaonyesha kabisa kuwa kumbe kutengeneza hapa nyumbani ni uhakika zaidi kuliko kutegemea nchi za watu.Watu wana uraia pacha....sidhani kama inawahusu hii!
nikikumbuka kijana aliyeimba bongo bahati mbaya....na aliungwa mkono na watanzania wenzetu wengine wanasiasa, nasikitika sana.Mkuu, nadhani hiki ni kipindi kizuri kujifunza kuwa kumbe nchi yako ndio the best to stay. Yaani hali inayoendelea sasa duniani inaonyesha kabisa kuwa kumbe kutengeneza hapa nyumbani ni uhakika zaidi kuliko kutegemea nchi za watu.