Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Fanya home work yako.

Simple:
Jua viambata vya huduma husika na gharama. Ingia kwenye mtandao wa manunuzi. Jumlisha gharama. Njoo na ushahidi.
Kinacho fichwa kwani nini? Si muweke hapa?

Tusidanganyane acheni kuibia watu wasiojua mnafanya nini?

Bima hizi zinakufa na haitakaa idumu moja Kwa sababu lengo lenu mnalijua.
 
Kinacho fichwa kwani nini? Si muweke hapa?

Tusidanganyane acheni kuibia watu wasiojua mnafanya nini?

Bima hizi zinakufa na haitakaa idumu moja Kwa sababu lengo lenu mnalijua.
Wewe ndo unahitaji kujenga hoja yako.

Bei ni tofauti kwa kila hospitali na eneo. Chukua sample ya eneo ulilipo leta hapa tujadili. Wakati huo pia uangalie mazingira yote/counterparts.

Otherwise ni kubeba vichwa vya habari na kuruka navyo tu.
 
Kwa gharama hizi mgonjwa huyu bora angekwenda India na labda huko hata angepona:

View attachment 2518913
Huyo mgonjwa alikuwa anaumwa Nini?

Mchanganuo wa hizo gharama ukoje?

India matibabu ni milioni 10??

Kwani gharama za nauli tu, maisha ya watu wawili kwenda India inaweza ni Bei ndogo sana?

Maana ni Bora kufanya comparison ili mtu ajue wapi ni nafuu aende.
 
Watu hubeba ujumbe tu bila tafakari.
 
Mkuu ni huduma ipi uliwai ipata kwa gharama nafuu ukilinganisha na hospital ambayo unasema ni kubwa?gharama za matibabu kubwa Duniani,tena waweza ona kwetu tuna nafuu,...ukikata Bima 1.5M utapata huduma ya wewe,mkeo na watoto 4 kwa mwaka,pia NHIF wameleta vifurushi kwa sasa ambavyo unakata vya mtu mmoja..kifupi TIBA ni gharama, waweza lalamika kwa sababu hujui ghrama za uendeshaji wa vituo,..mbali na majengo na mishahara,kuna magari,watumishi wanahitaji kulipwa calls,na mambo mengi ndani ya kituo...pitia gharama za matibabu kwa nchi za SA,Ulaya na Marekani.

Ilikuwa muhimu mambo yote yakawekwa wazi. Tusiongee kama tusioelimika.

Tunalinganisha vipi na wapi ambapo:

1. Kwetu investment cost yote ni umma?
2. Kwetu kuna mgao wa bajeti toka kwa umma Kila mwaka?

Unataka tulinganishe na ambao uwekezaji wao ni binafsi 100%?

Tuwe serious kidogo basi.

Anyway hoja hapa ni hii:

"Kupata breakdown ya gharama halisi mfano za dialysis 1, MRI 1, CT Scan 1, operation 1 nk, Ili kujiridhisha na bei hizi ambazo kwa hakika ni kubwa sana kwa mtu au hata kwa bima."

Ni hayo tu ndugu.
 
Uliambiwa na nani bajeti hiyo ni coverage by 100%??

Serikali isingetambua cost sharing.

Fanya homework yako.
 
Uliambiwa na nani bajeti hiyo ni coverage by 100%??

Serikali isingetambua cist sharing.

Fanya homework yako.

SerIkali ipi?

FoVixEVWAAAou0r.jpeg
 
Afya ni gharama,yani mtu asijari wala kuzingatia afya yake ila akiugua anataka atibiwe bure,tujali afya zetu tukate bima za afya.
 
Mbona unaendelea kupanua goli?
Goli liko pale pale. Haya yako ya:

"serikali isingetambua cost sharing."

Si mahali pake hapa. Hayo ni maneno matupu ndugu.

Kama una majibu hapa karibu, maana ndipo tatizo lilipo:

"Kupata breakdown ya gharama halisi mfano za dialysis 1, MRI 1, CT Scan 1, operation 1 nk, Ili kujiridhisha na bei hizi ambazo kwa hakika ni kubwa sana kwa mtu au hata kwa bima."
 
Goli liko pale pale. Haya yako ya:

"serikali isingetambua cost sharing."

Si mahali pake hapa. Hayo ni maneno matupu ndugu.

Kama una majibu hapa karibu maana ndipo tatizo lilipo:

"Kupata breakdown ya gharama halisi mfano za dialysis 1, MRI 1, CT Scan 1, operation 1 nk, Ili kujiridhisha na bei hizi ambazo kwa hakika ni kubwa sana kwa mtu au hata kwa bima."
Maneno matupu wakati ndo kitu kinachotekelezwa?

Hizo gharama ziko displayed kila kituo. Hata ukitaka gharama za huduma zote utapata ni takwa la kimuongozo kwa vituo vya afya. Nenda utapata.

Relax, fanyia kazi hoja yako ipe uzito.
 
Afya ni gharama,yani mtu asijari wala kuzingatia afya yake ila akiugua anataka atibiwe bure,tujali afya zetu tukate bima za afya.

Kwanini bei ICU Muhimbili ni 450,000/- kwa siku? Au dialysis ni huko ziliko Kwa moja?

Kuuliza hayo kuna nini cha kufanya na kukata bima?

Mifuko hii ya bima kwa Bei hizo itadumu?

Huo ndiyo ulio msingi pekee wa hoja.
 
Kwani bei ya ICU ya hadhi usika Aga khan, Regency, Hindu Mandal, TMJ ni shilingi ngapi?
 
Maneno matupu wakati ndo kitu kinachotekelezwa?

Hizo gharama ziko displayed kila kituo. Hata ukitaka gharama za huduma zote utapata ni takwa la kimuongozo kwa vituo vya afya. Nenda utapata.

Relax, fanyia kazi hoja yako ipe uzito.
Kwa hiyo huna majibu kwa nini session ya dialysis 1 Iko kwenye tune za 400,000/- kwa moja?

Kama ndivyo si tuache wenye takwimu waje? Au?
 
Huyo mgonjwa alikuwa anaumwa Nini?

Mchanganuo wa hizo gharama ukoje?

India matibabu ni milioni 10??

Kwani gharama za nauli tu, maisha ya watu wawili kwenda India inaweza ni Bei ndogo sana?

Maana ni Bora kufanya comparison ili mtu ajue wapi ni nafuu aende.

Kwa 10m/- Bora mgonjwa huyu angeenda India.

1. Pamoja na nauli uwezakano wala isingefika huko.
2. Pengine hata angekuwa hai Leo.

Wangapi wanakwenda huko kwa gharama ndogo zaidi hata kukuta walikuwa wametolewa tezi nzima?

Mgonjwa adai fidia TMJ, Hindu Mandal
 
Kwa hiyo huna majibu kwa nini session ya dialysis 1 Iko kwenye tune za 400,000/- kwa moja?

Kama ndivyo si tuache wenye takwimu waje? Au?
Sababu umeshapewa labda kama unasoma na kupoteza.
 
Kwa 10m/- Bora mgonjwa huyu angeenda India.

1. Pamoja na nauli uwezakano wala isingefika huko.
2. Pengine hata angekuwa hai Leo.

Wangapi wanakwenda huko kwa gharama ndogo zaidi hata kukuta walikuwa wametolewa tezi nzima?

Mgonjwa adai fidia TMJ, Hindu Mandal
Hizo ni hoja mfu, umesikia ni hospitali ya kwanza duniani kudaiwa fidia unaelewa uhakika wa yaliyotokea na hitimisho au unadandia tu?

Organize ur details.
 
Tunajua kuwa amekaa hospitali kwa kipindi gani? Zimetumika gharama kiasi gani za ununuzi wa dawa na baadhi ya matibabu yamekwendaje? Yawezekana kwa kiasi hicho cha pesa angekwendq India ingekuwa zaidi ya milioni hamsini huko, lazima tulinganishe huduma na gharama za matibabu mana serikali ikiboresha huduma gharama nazo lazima ziongezeke hata kwa kiasi fulani
Jaribu kuelewa, hiyo elf 80 ni kwa ajili ya kipimo, sputum cytology shilingi elfu 80 kwenye hospitali ya umma ambayo infrastructure zote, mishahara ya wataalamu na wahudumu inalipwa na kodi za wananchi na wahisani mbalimbali.......kwa hiyo unataka kusema elfu 80 ni cost sharing kwenye kufanya sample processing and analysis......kuna input gani kubwa zaidi ya kufanya gharama ya cost sharing iwe kubwa kiasi hicho.​
 
Hizo ni hoja mfu, umesikia ni hospitali ya kwanza duniani kudaiwa fidia unaelewa uhakika wa yaliyotokea na hitimisho au unadandia tu?

Organize ur details.
Unarukia rukia hoja tu. Ila umeshindwa kusema mfano:

Session 1 ya dialysis gharama:

1. Umeme 20,000/-
2. Maji 10,000/-
3. Machela 80,000/-
4. Ujuzi 200,000/-
5. Dawa x, y, z 139,000/-
6. r
7. S
8. T

Jumla 689,876.65 tukajiridhisha.

Kama majibu huna si subiri wenye nayo walete?
 
Back
Top Bottom