- Thread starter
- #201
Jaribu kuelewa, hiyo elf 80 ni kwa ajili ya kipimo, sputum cytology shilingi elfu 80 kwenye hospitali ya umma ambayo infrastructure zote, mishahara ya wataalamu na wahudumu inalipwa na kodi za wananchi na wahisani mbalimbali.......kwa hiyo unataka kusema elfu 80 ni cost sharing kwenye kufanya sample processing and analysis......kuna input gani kubwa zaidi ya kufanya gharama ya cost sharing iwe kubwa kiasi hicho.
Hao ndiyo watanzania maneno matupu ila namba hapana