Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Bei za vyakula: nendeni mkalime -- Bashe.

Bei mahospitalini: anzishehi hospitali -- wewe.

Kwanini nauli, petrol nk zinakuwa regulated?

Haituingii akilini. Kwani hospitali za umma ni binafsi kama chakula cha wakulima?

Tunahitaji bei hospitali kuwa regulated kwa kuanzia kujua gharama halisi.

Tutakapo hoji walioko madarakani mtashauri tuwafurushe watoke?
Tafuta pesa tibu familia Yako , nitachukia Sana Kodi yangu ikutibu wewe na familia Yako

Kama serekali hospital zake ghali nenda private hospitals
 
Nitachukia mno kodi yangu kukutibu wewe. Bora itibu familia yako kwa sababu baba lao laweza kuwa zezeta zuzu fulani tu.

Ninachukia zaidi kuibiwa na serikali na labda eti kuwa katika wizi wanufaika hao, wewe ni mmoja wao.

Usinifokee!

Niende private wakati tozo na kodi zangu serikali inachukua? Nitakwenda ninakotaka na haitakuwa kwa ushauri, amri, wala msukumo wowote toka kwako.

Kinakuuma nini wewe sisi kufahamu itemized costs ya kinachoitwa bei kwenye hospitali za umma?

Ninakazia: usitufokee mjomba!
 
Sputum cytology is just a basic test like blood smear ambayo utatumia routine stains na hata kama utatumia special stains gharama ya ku-process haiwezi kufika elfu 5, kadanganye wajinga.....eti 5,786,000/=🤣
 
Kuhoji kupata bei halali si kuhitaji lolote bila pesa.

Dialysis ni 450,000/- @session Mtu.

Unajua Kwa Nini siyo 1,000,000/-, 50,000/-, au 5,000/- kwa session kwa mtu?

Kwanini tusifahamishane kwenye hizo machela, umeme, maji, ujuzi, vifaa nk?
Kuna consumables kwenye dialysis
Mfano: erythropoietin peke yake ni kuanzia dollar 60 =60×2500= 150,000/= kuna dawa za kutumia, maji, umeme, dawa za kusafisha mashine, vipimo vya kabla na baada etc. Usitaje tu dialysis
 
Sputum cytology is just a basic test like blood smear ambayo utatumia routine stains na hata kama utatumia special stains gharama ya ku-process haiwezi kufika elfu 5, kadanganye wajinga.....eti 5,786,000/=🤣
Unafikiria kama ni hivyo hata dispensary si wangefanya. Acha kufanganya watu. Ukafanye cell cytology ya kansa kwa 5,00/=

Kwani hiyo PubMed nimeiandika mimi.

Taja hospitali tatu Tanzania zinafanya sputum cytology?
 
Acha kulisha watu matango pori kwa ku-quote rate za marekani ambazo ni nchi tofauti na yenye hali tofauti ya vipato, uchumi nk. Umeokota tu figure mtandaoni wala hujui hiyo test in entail vitu gani. Kama ni rate za mtandaoni kuna quote moja ambayo ni USD 15 for cytology test, hapo unasemaje!. Acha kudanganya watu, kwamba stains ndo zinafanya gharama iwe kubwa. Tuwekee hapa bei za hizo stains na reagents unazodai hazishikiki bei.......​
Kwa hiyo hizo device na reagents wewe utapata bureee.
 
Unafikiria kama ni hivyo hata dispensary si wangefanya. Acha kufanganya watu. Ukafanye cell cytology ya kansa kwa 5,00/=

Kwani hiyo PubMed nimeiandika mimi.

Taja hospitali tatu Tanzania zinafanya sputum cytology?
Kwani inashindikana kufanya kwenye dispensary ikiwa wanazo stains, microscope na mtu wa ku-examine slides? mkuu endelea na mengine huwezi kunidanganya kwenye hili....
 
Taja hivyo vituo vinavyofanya sputum cytology??
 
Kuna consumables kwenye dialysis
Mfano: erythropoietin peke yake ni kuanzia dollar 60 =60×2500= 150,000/= kuna dawa za kutumia, maji, umeme, dawa za kusafisha mashine, vipimo vya kabla na baada etc. Usitaje tu dialysis

Nimekuwa wazi kuulizia itemized costs zote. Si sahihi kusema ninataja dialysis tu. Wanaotaja hivyo ni huko hospitali ambako sisi tunaona ni kuuziana mbuzi kwenye gunia.

Sasa kwa kuanza kufungua box unaanza kusogea sogea.

Fungua box kifungu kwa kifungu kwa bei yake kwa mtu.

Statement yoyote ya jumla jumla ndiyo mbuzi kwenye gunia huyo.

Karibu.
 
Soma hiyo document hapo juu
 
Unafikiria kama ni hivyo hata dispensary si wangefanya. Acha kufanganya watu. Ukafanye cell cytology ya kansa kwa 5,00/=

Kwani hiyo PubMed nimeiandika mimi.

Taja hospitali tatu Tanzania zinafanya sputum cytology?
Kwa nini hukufanya kwenye dispensary unayoijua kwa 5,000/=?
 
Soma hiyo document hapo juu

Nimeisoma hiyo document. Haina tunachouliza zaidi ya kuwa Iko highly inflated to justify the end.

Dialysis moja Mhimbili wala haina staff hao ndiyo maana tunasema tunaibiwa.

Ziko wapi ingredients? Ziko wapi Bei?

Yale yale ya kuuziana mbuzi kwenye gunia.

CAG anaweza kutuokoa kwenye kadhia Hii. Hapa panatakikana audit ya dharura sana:

"MNH performs on average 442 hemodialysis per month (34 patients, with three sessions per week) with a personnel placement of 20 nurses, four nephrologists, eight registrars, one nutritionist, two biomedical engineers, four health attendants and nine dialysis machines. The respective average unit cost per hemodialysis is 176 US$. Consequently, an average patient requiring three dialyses per week (i.e. 156 dialyses per year) will cause annual costs of 27,440 US$."
 
Nimeisoma hiyo document. Haina tunachouliza zaidi ya kuwa Iko highly inflated to justify the end.

Dialysis moja Mhimbili wala haina staff hao ndiyo maana tunasema tunaibiwa.

Ziko wapi ingredients?

Yale yale ya kuuziana mbuzi kwenye gunia.

CAG anaweza kutuokoa kwenye kadhia Hii. Hapa panatakikana audit ya dharura sana:

"MNH performs on average 442 hemodialysis per month (34 patients, with three sessions per week) with a personnel placement of 20 nurses, four nephrologists, eight registrars, one nutritionist, two biomedical engineers, four health attendants and nine dialysis machines. The respective average unit cost per hemodialysis is 176 US$. Consequently, an average patient requiring three dialyses per week (i.e. 156 dialyses per year) will cause annual costs of 27,440 US$."
Unaelewa unachosoma:
Hiyo ni bei as per MSD 2015
Umeona gharama za consumables au unarukaruka tu.

Highly inflated as per which reference? Fanya kazi ukalipe bill za watu huko.
 
Kwa nini hukufanya kwenye dispensary unayoijua kwa 5,000/=?
Kwani kwenye dispensary kuna specialist wa ku-examine hizo slides? nilichokubana ni kwamba processing cost ni ndogo sana kuliko unavyotaka kuaminisha watu hapa kwa sababu is just a simple smear test ambayo utatumia routine stains kwa kufanya initial screening, labda useme hiyo 5,786,000/- analipwa huyo pathologist anaye examine hizo slides. Na ndo hiki mleta mada anachojaribu kutaka kujua, je hizo gharama kuwa juu ni component gani inayofanya ziwe juu kwenye hospitali za umma ikiwa miundombinu ya hospitali, reagents, vifaa tiba, wataalamu, wahudumu, madawa nk. vinagharamiwa kwa kodi za wananchi na wahisani mbalimbali?​
 
Hapo ndo shida inaanza, BURE ALISHAKUFA. Vinaghalimiwa kwa %ngapi??
 
Back
Top Bottom