Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
A very factUkitaka kujua wewe ni maskini uuguliwe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A very factUkitaka kujua wewe ni maskini uuguliwe...
Hili sasa mweleweshe mtoa mada maana anachouliza ni kwamba ikiwa hizi hospitali za umma zinaendeshwa kwa kodi za wananchi iweje gharama za matibabu ziwe juu namna hiyo hata kuzidi hospitali binafsi?Hapo ndo shida inaanza, BURE ALISHAKUFA. Vinaghalimiwa kwa %ngapi??
Mnang'ang'ana kuokolewa na tawi kavu. Hakuna serikali itacover vist 100%. TUFANYE KAZIKwani kwenye dispensary kuna specialist wa ku-examine hizo slides? nilichokubana ni kwamba processing cost ni ndogo sana kuliko unavyotaka kuaminisha watu hapa kwa sababu is just a simple smear test ambayo utatumia routine stains kwa kufanya initial screening, labda useme hiyo 5,786,000/- analipwa huyo pathologist anaye examine hizo slides. Na ndo hiki mleta mada anachojaribu kutaka kujua, je hizo gharama kuwa juu ni component gani inayofanya ziwe juu kwenye hospitali za umma ikiwa miundombinu ya hospitali, reagents, vifaa tiba, wataalamu, wahudumu, madawa nk. vinagharamiwa kwa kodi za wananchi na wahisani mbalimbali?
Binafsi ipi?? Ataje moja alinganishe.Hili sasa mweleweshe mtoa mada maana anachouliza ni kwamba ikiwa hizi hospitali za umma zinaendeshwa kwa kodi za wananchi iweje gharama za matibabu ziwe juu namna hiyo hata kuzidi hospitali binafsi?
Muulize the same doc. Muhimbili ni shilingi ngapi?Aga khan kumuona daktari ni kuanzia 70k
Swala liko palepale gharama zipo juu sana, hii ndiyo hoja ya msingi na wengi wameshatoa shuhuda zao humu......Binafsi ipi?? Ataje moja alinganishe.
Juu what is the reference??Swala liko palepale gharama zipo juu sana, hii ndiyo hoja ya msingi na wengi wameshatoa shuhuda zao humu......
Unataka kutuaminisha reagent tunatengeneza ?Acha kulisha watu matango pori kwa ku-quote rate za marekani ambazo ni nchi tofauti na yenye hali tofauti ya vipato, uchumi nk. Umeokota tu figure mtandaoni wala hujui hiyo test in entail vitu gani. Kama ni rate za mtandaoni kuna quote moja ambayo ni USD 15 for cytology test, hapo unasemaje!. Acha kudanganya watu, kwamba stains ndo zinafanya gharama iwe kubwa. Tuwekee hapa bei za hizo stains na reagents unazodai hazishikiki bei.......
Juu what is the reference??
Unaanzia wapi? Hiyo tofauti huioni?
Kama hutengenezi hiyo ina justify vipi bei kuwa kubwa, ni vitu vingapi hatutengenezi nchi hii!?Unataka kutuaminisha reagent tunatengeneza ?
Nimetoa swaliSwala liko palepale gharama zipo juu sana, hii ndiyo hoja ya msingi na wengi wameshatoa shuhuda zao humu......
Kipimo 750,000/= umeambiwa lipa 250,000/= hata hujaona sharing??At least sasa umeanza kuelewa, kwa hiyo nendeni mkafanye review ya hizo gharama ziendane na dhana ya cost sharing siyo kuwa kichaka cha kuendelea kuwakamua watanzania maskini kwenye huduma ambayo tayari inaendeshwa kwa kodi zao wenyewe.
Sasa sema ni reagent gani tunanunua kwa bei ndogo na tunauza kwa bei kubwaKama hutengenezi hiyo ina justify vipi bei kuwa kubwa, ni vitu vingapi hatutengenezi nchi hii!?
Mwenzio keshanielewa tayari wewe hapa unarudia yaleyale, nendeni mkafanye review ya hizo bei ziendane na dhana ya cost sharing.Nimetoa swali
Gharama zipo juu ukilinganisha na wapi ?
Nimewapa option ya kutaja nchi 10 afya ni Bure na nikawapa option ya surgery kubwa kama 10 Tanzania zipo juu kuliko nchi unayolinganisha
Taja ..
Unaelewa unachosoma:
Hiyo ni bei as per MSD 2015
Umeona gharama za consumables au unarukaruka tu.
Watanzania wasio na ndugu ni wachache Sana na serekali inatumia Kodi kuwasaidiaAt least sasa umeanza kuelewa, kwa hiyo nendeni mkafanye review ya hizo gharama ziendane na dhana ya cost sharing siyo kuwa kichaka cha kuendelea kuwakamua watanzania maskini kwenye huduma ambayo tayari inaendeshwa kwa kodi zao wenyewe.
Gharama za matibabu ni kubwa sana, na hii inaweza kutokana na upungufu wa bajeti unaoelekezwa kwenye mahospitali husika; na kupelekea wagonjwa kubebeshwa gharama kubwa katika matibabu.
Mfano:-
Vyuo vya umma, viwe vikuu au vya kati, hulipwa mishahara na serikali, ingawa vyuo hivyo vinakusanya ada za mamilioni ambazo hutumuika kama gharama za uendeshaji wa vyuo hivyo pamoja na posho mbali mbali. Tukija upande wa hospitali; serikali inawalipa mishahara, pamoja na kusambaza dawa; sijajua kama dawa hizo au kemikali hizo au vitendea kazi hivyo vinatosheleza uhitaji; na kama havitoshelezi; ni nani anatakiwa anunue; hospitali au serikali? Inawezekana gharama (ada) kuwa kubwa hospitalini ikiwa lengo ni kufidia gharama za uendeshaji au kulipana posho kutokana na ufinyu wa bajeti waliopelekewa. Kupata jibu sahihi, itatulazimu kujua; serikali inafanya majukumu gani kwa hospitali (inagharamia nini), na hospitali ina majukumu yapi katika uendeshaji. Au mapato ya hospitali yanatumika kwenye nini?
Sio jibu la swaliMwenzio keshanielewa tayari wewe hapa unarudia yaleyale, nendeni mkafanye review ya hizo bei ziendane na dhana ya cost sharing.