Kasome water and electricity requirements per facility level by WHO Standards.Kwani Kwa hesabu zako mgonjwa anatumia kiasi gani cha umeme hospitalini?
Kwanini kama hivyo hIzi hospitali zisiondelewe kuwa ni za umma angalau zikawa zenu ikaeleweka?
Hivi anaetakiwa kuleta ushahidi ni mshitaki au mshitakiwa ili kushawishi mahakama?Bei kwa item kwa consumables zote za mgonjwa mmoja wa dialysis ziko wapi tujiridhishe ndugu?
Hapana ndugu tofautisha hospitali ya umma na private.Kasome water and electricity requirements per facility level by WHO Standards.
Fanya reserch yako njoo na data. Nenda vituo vya dialysis Gov vs Private na oversees njoo na data. Compare and contrast then sema hii ni ghali mno. Bila hivyo huna base ya kuuelezea ughali wowote.Bei kwa item kwa consumables zote za mgonjwa mmoja wa dialysis ziko wapi tujiridhishe ndugu?
Kwani umeona kuna kesi? Mshitaki na mshitakiwa wanatoka wapi basi?Hivi anaetakiwa kuleta ushahidi ni mshitaki au mshitakiwa ili kushawishi mahakama?
Maana haya mambo tulizunhumzia tangu asubuhi bado unayarudia tu?
Tulishasema bajeti si 100% coverage.Hapana ndugu tofautisha hospitali ya umma na private.
Kwa hakika wizara hii inahitaji a very comprehensive audit.
Kumbe mnadhani hospitali hIzi ni zenu.
Kumbe bajeti ya matumizi ya kila mwaka ni ya nini?
Unaogopa kizimba, hii ni mahakama huru leta ushahidi wa gharama kufuru. Kufuru ukilinganisha na nini vs wapi?Kwani umeona kuna kesi? Mshitaki na mshitakiwa wanatoka wapi basi?
Kwanini mnaona kuulizwa itemization na gharama zake kwa mgonjwa ni kuwa mko kizimbani?
Wenye machine hIzi si ninyi? Kwanini tokea asubuhi kushindwa kutoa bei hizo Ili nasi kama wateja tujiridhishe?
Kabla ya kujua hizo cost, kwanza ni kujua unazungumzia Enalapril ipi na ya wapi?Wanaanza kuumbuka 7,500 manzese huduma binafsi, 24,000 Muhimbili hospitali ya walalahoi....
Kukosea kupo nawe si mkamilifu. Na kuna aina ya makosa kwa mtaalamu kwa mazingira yake na adhabu.Tz hii kila kitu ni hovyo kuanzia viongozi wa ngazi za juu hadi wataalamu wa ngazi za chini.
Mfano unapeleka mtu hospitali kufanya operation madaktar wanakosea operation wanatengeneza tatizo jingine kubwa nnje na tatizo ulilo endea mwanzo hapohapo wanataka tena ugharamikie tatizo walilo lisababisha wao.
Tumbi na mlongazila tunawaZoom tu nyie madaktari wa hizo hospitali ni watu wa hovyo sana wanauwa watu,mnatia watu umaskini,mnawapa watu misongo ya mawazo
Siyo dialysis tu. Tuna na MRI, CT scan, Ventilator, ICU, operation nk. List ni ndefu.Fanya reserch yako njoo na data. Nenda vituo vya dialysis Gov vs Private na oversees njoo na data. Compare and contrast then sema hii ni ghali mno. Bila hivyo huna base ya kuuelezea ughali wowote.
Unaogopa kizimba, hii ni mahakama huru leta ushahidi wa gharama kufuru. Kufuru ukilinganisha na nini vs wapi?
Fanyia kazi zote, ongeza wigo wa utafiti pia malipo kwa wafanyakazi na uwepo wa vitendea kazi. Itasaidia sana.Siyo dialysis tu. Tuna na MRI, CT scan, Ventilator, ICU, operation nk. List ni ndefu.
Kulikoni kutokutoa ushirikiano tukajiridhisha kama bei ni halali?
Huo sI ndiyo uliokuwa msingi wa hoja?
Sasa nani agharamie hiyo errors ?Kukosea kupo nawe si mkamilifu. Na kuna aina ya makosa kwa mtaalamu kwa mazingira yake na adhabu.
Soma medical errors misconduct in healthcare setting worldwide.
Labda kama wewe u-mkamilifu.
Hilo liache, kwani wao wana utaratibu wao wa kujiridhisha dhidi ya wanacholipa hiyo ni isdue nyingine. Na sasa kwa hospitali kubwa wana online system ambayo inawasaidia sana mambo yao mengi. Usilichukue hilo jukukumu. Maliza hili la leo kwanza.Niogope kizimba Kwa kosa lipi? Nakuona mwogopa kizimba ni wewe. Au ni yale ya "the quilty are always afraid?"
Isikupe taabu tumedhamiria kweli kweli suala hili ni la dharura zaidi.
Dhana yenu ya kuitumia bima ya afya kama conduit yenu ya kutuibia lazima na at any cost kieleweke.
Watu gani nyie msiokuwa na utu nyie?
Fanyia kazi zote, ongeza wigo wa utafiti pia malipo kwa wafanyakazi na uwepo wa vitendea kazi.
Kasome vizuri Conset form uliyosaini ina mambo mengi ya msingi.Sasa nani agharamie hiyo errors ?
Kama umnakiri huwa mnakosea kwanini mnabebesha gharama zisizo tuhusu?
Hospitali Kuna Panadol??unajua nauli ya kutoka mbezi ubungo kwa mwendo kasi ni sh elfu moja na something, wakati daladala ni mia tano mpaka mia nne unafika? We unaishi dar kweli?
Kuusu gharama za hospitali unajua bei ya panado kwenye hospitali za serikali ni kubwa kuliko phamacy za mtaani? Ndio maana tunauliza kwa nini hospitali za serikali gharama ni kubwa hi hali majengo , mishahara, madawa nk wananchi tunatoa kupitia kodi zetu?
Dharura ni wizi kwenye malipo haya hayo hayapaswi kusubiri.Hilo liache, kwani wao wana utaratibu wao wa kujiridhisha dhidi ya wanacholipa hiyo ni isdue nyingine. Na sasa kwa hospitali kubwa wana online system ambayo inawasaidia sana mambo yao mengi. Usilichukue hilo jukukumu. Maliza hili la leo kwanza.