Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Kuna consumables kwenye dialysis
Mfano: erythropoietin peke yake ni kuanzia dollar 60 =60×2500= 150,000/= kuna dawa za kutumia, maji, umeme, dawa za kusafisha mashine, vipimo vya kabla na baada etc. Usitaje tu dialysis
Hospitali ya umma inalipia umeme ili iweje ?
 
Bei za dawa Muhimbili ni kubwa kuliko ya maduka ya madawa
Mfano
Enapril, Muhimbili 24000 Manzese 7500
Kama suala ni cost sharing sio kwa kiasi hiki halafu siku hizi kila kitu kompyuta hupewi prescription ukajinunulie mtaani,unaambiwa tuu nenda dirisha la dawa
 
Tz hii kila kitu ni hovyo kuanzia viongozi wa ngazi za juu hadi wataalamu wa ngazi za chini.

Mfano unapeleka mtu hospitali kufanya operation madaktar wanakosea operation wanatengeneza tatizo jingine kubwa nnje na tatizo ulilo endea mwanzo hapohapo wanataka tena ugharamikie tatizo walilo lisababisha wao.

Tumbi na mlongazila tunawaZoom tu nyie madaktari wa hizo hospitali ni watu wa hovyo sana wanauwa watu,mnatia watu umaskini,mnawapa watu misongo ya mawazo
 
Ukifuatilia sana, unaweza usipate majibu, kuna baadhi ya maofisi watu wanatoka na posho ya 15m + nje ya mshahara; halafu leo hii unategemea daktari bingwa wa upasuaji aishi kwa mshahara tu.

Kumbe ni mashindano ya posho na mhanga ni mgonjwa au marehemu?

Matokeo yake ndiyo Bei hIzi?

Kwa hakika tunakoelekea siyo kwenyewe.
 
Tz hii kila kitu ni hovyo kuanzia viongozi wa ngazi za juu hadi wataalamu wa ngazi za chini.

Mfano unapeleka mtu hospitali kufanya operation madaktar wanakosea operation wanatengeneza tatizo jingine kubwa nnje na tatizo ulilo endea mwanzo hapohapo wanataka tena ugharamikie tatizo walilo lisababisha wao.

Tumbi na mlongazila tunawaZoom tu nyie madaktari wa hizo hospitali ni watu wa hovyo sana wanauwa watu,mnatia watu umaskini,mnawapa watu misongo ya mawazo

Inasikitisha sana
 
Inasikitisha sana
Haya watu Mungu awape adhabu kali huko motoni

Viongozi wa juu wanaleta siasa kwny afya za watu na wataalamu wa afya wanaleta wizi,rushwa na uongo uongo kwenye maisha ya watu kwa maslai yao binafsi
 
Haya watu Mungu awape adhabu kali huko motoni

Mtu anayechukulia mwingine kuwa hana namna na hivyo kumdhulumu hadi afya mtu huyo mdhalimu haswa!

Kwa hakika Mola avisikie vilio vya wote wanaodhulumiwa.
 
Hospitali ya umma inalipia umeme ili iweje ?
Tunqpaswa kuamka kuhoji haya.

Ieleweke kama vipi ifahamike mgao bajeti usiwepo.

Hospitali za umma zimefanywa private kinyemela.
 
Bei za dawa Muhimbili ni kubwa kuliko ya maduka ya madawa
Mfano
Enapril, Muhimbili 24000 Manzese 7500
Kama suala ni cost sharing sio kwa kiasi hiki halafu siku hizi kila kitu kompyuta hupewi prescription ukajinunulie mtaani,unaambiwa tuu nenda dirisha la dawa
Wanaanza kuumbuka 7,500 manzese huduma binafsi, 24,000 Muhimbili hospitali ya walalahoi....
 
Ku elaborate eqpmnts siyo kiburi

Kiburi ni hiki hapo 👆👆
Kukukaribisha ufanye bure baafa ya kununua material nacho kiburi. Mbona kila kitu unadefine utakavyo wewe? Tengeneza basi sentensi isiyo na kiburi. Tusameheane tu.
 
Ndiyo halipi umeme. Upo tu, TANESCO inajiweza itaipatia. Walipoeleza kukatia taasisi za serikali zenye madeni ulifikiri ni taasisi za Ujerumani.
Kwani Kwa hesabu zako mgonjwa anatumia kiasi gani cha umeme hospitalini?

Kwanini kama hivyo hIzi hospitali zisiondelewe kuwa ni za umma angalau zikawa zenu ikaeleweka?
 
Kukukaribisha ufanye bure baafa ya kununua material nacho kiburi. Mbona kila kitu unadefine utakavyo wewe? Tengeneza basi sentensi isiyo na kiburi.

Bei kwa item kwa consumables zote za mgonjwa mmoja wa dialysis ziko wapi tujiridhishe ndugu?
 
Back
Top Bottom