Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Kodi yangu isingekuwa haitoshi ma V8 yasingekuwapo.
Kurahisisha mjadala taja nchi 10 huduma za afya ni Bure , au ni chini ya Tanzania na unitajie gharama zao kwa at least huduma kumi kubwa
 
Kurahisisha mjadala taja nchi huduma za afya ni Bure , au ni chicken ni ya Tanzania na unitajie gharama zao kwa at least huduma kumi kubwa
Haya si ndiyo Yale ya bando kwetu kuwa bei nafuu bila kulinganisha mapato, kodi, tozo Wala matumizi ya anasa ya watu?

Kwa nini ni vigumu kufahamu kulikoni gharama hizi za MRI, CT scan, dialysis, operation nk, huku bajeti za ma trillion zikiwa zimeelekezwa huku huku tokea kwenye kodi na tozo.
 
Maswali yangu
Kurahisisha mjadala taja nchi 10 huduma za afya ni Bure , au ni chini ya Tanzania na unitajie gharama zao kwa at least huduma kumi kubwa
 
Maswali yangu
Kurahisisha mjadala taja nchi 10 huduma za afya ni Bure , au ni chini ya Tanzania na unitajie gharama zao kwa at least huduma kumi kubwa

"Kwa nini ni vigumu kufahamu kulikoni gharama hizi za MRI, CT scan, dialysis, operation nk, huku bajeti za ma trillion zikiwa zimeelekezwa huku huku tokea kwenye kodi na tozo?"
 

Mada kama hizi watoto wa shule hukaa kimya!
 
Na ukiona kuna majengo ya hospitali, vifaa, majengo, dawa nk huku ukichagizwa ulipe Kodi na tozo maana yake nini?
Ukiona kitu Cha Bure juwa kuna watu wamekulipia

There is no Free service
 
CT scan, MRI na Kufanya Dialysis ni gharama kubwa.

Unless kama serikali itakuja kuweka Ruzuku kwenye hivyo vipimo au ifanye viwe bure.

Kwasasa Dialysis ni Tsh 300,000 na mwathirika anatakiwa kufanyiwa kwa mwezi Mara 8.

Unadhani wakisema iwe laki moja, hiyo ni pesa ndogo??
 

Mkuu dialysis ni angalau mara 2 kwa week tafadhali angalia rejea zako kujiridhisha.

Kwamba ni ghali na kwamba iweje?

Kwanini gharama kamili isitathiniwe yaani umeme, madawa, machela, maji, labor nk badala ya ujanja ujanja wa kuuziana mbuzi kwenye gunia?

Su kuwa gharama hizi zimekuwa hivi kwa sababu mtu asipofanyiwa atakufa? Yaani ni check mate kwenye lugha ya chess?

Bei hizo ni muhimu zikazingatia mchango wa wawekezaji kwenye hospitali za umma watu kama wadau.

Hauoni mustakabala haki inawezekana kufikiwa Kwa kuhusisha wadau wote?
 
Mapendekezo ili gharama ziwe ndogo zinatakiwa kuwa kiasi gani?
 
Mumeambiwa jiungeni na bima ya Afya hamtaki,msitupigie kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…