Tatizo tuna wajinga choka mbaya wenye kujidhania wao ni werevu, wao ndiyo wenye bima na kuwa wengine bima hawana, hawawezi kuyaona wala kuyaongelea madhila ya wengine ila yao. Ubinafsi uliopitiliza.Kwangu hii ni nyuzi bora ya mwaka....achana na mambo yale ya jukwaa letu pendwa la kimasikhara!!
Hayupo anayekataa bima ila break down ya gharama ni vyema vikajulikana ni kwa vigezo gani.Usipokuwa na Bima kwasasa ni changamoto kubwa,nawashauri kateni Bima hata ya peke yako laki 2 na chenji kidogo itakusaidia kuliko kwenda kavukavu
Sio masakiMjomba Unaishi Masaki nini?
Hakuna bangi fanya kazi kata bima lipia familia Yako , Kodi yangu imekuwekea infrastructure, imekusomeshea wataalam , imekuwekea vifaaUmevuta bangi ya wapi
Je umepata kulinganisha CT, MRI, Dialysis kwa hospitali binafsi?Hayupo anayekataa bima ila break down ya gharama ni vyema vikajulikana ni kwa vigezo gani.
Kwanini MRI CT, scan, dialysis, operation nk ni bei kubwa hizi? Je ni majengo, ugonjwa, vifaa, dawa nk?
View attachment 2518950
10m/- mgonjwa huyu angetibiwa bora zaidi India na labda asingekufa.
Zingatia kwa malipo haya kwa mgonjwa mmoja sI mtu binafsi si bima, watafilisika tu.
Bei hupangwa na bodi za hospitali husika kwa kuhusisha wadau na kuzingatia uliyoyataja pia levels/daraja la kituo au hospitali husika na hali ya uchumi wa eneo husika.
Ingawa pia ungekuja na mifano ya huduma husika ikiwa na gharama yake na useme hii kwa serikalini level hiyo ni shilingi ngapi na private kwa level hiyo ni shilingi ngapi.
Wakati mwingine twaweza kushituka na limbikizo la gharama bila kujua mgonjwa alikaa/hudumiwa hospitalini kwa muda gani na ni nini kilifanyika kuanzia alipopokelewa mpaka anatoka.
Kuhusu uwazi, kwa kila malipo huja na kinacholipiwa, kama kuna kutokuelewa au kutokukubaliana kuna nafasi ya kutoa hoja ili kuangalia uhalali wa vilivyotajwa.
Hakuna binadamu yupo duniani Kwa ajili ya kuilipia huduma zako binafsi , tupo kulipia huduma za ku share (Barbara, na infrastructure zingine )Tatizo tuna wajinga choka mbaya wenye kujidhania wao ni werevu, wao ndiyo wenye bima na kuwa wengine bima hawana, hawawezi kuyaona wala kuyaongelea madhila ya wengine ila yao. Ubinafsi uliopitiliza.
Bei zinazingatia yaliyotajwa hapo juu mwanzo.Bei hupangwa na bodi za hospitali na mteja anawasilishwa na nani? Nani anaangalia maslahi ya mteja kwamba hanyonywi na wajanja?
Kwanini MRI, CT scan, dialysis, operation nk ni bei kubwa hizi tunazozifahamu? Ni dawa, majengo, ujuzi, ugonjwa au ni nini?
Kwanini dialysis kwa mfano kuwa huko kwenye bei zilizopo? Bei zilizopo zimezingatia nini? Kwanini si 5,000/-, 20,000/-, 50,000/-, 100,000/- 1,000,000/-, 10,000,000/- au hata zaidi?
Kwanini siyo haki bin haki?
Tafadhali tambua maswali haya ni ya msingi bila kujali mlipaji ni nani.
Zaidi sana tambua wagonjwa wengi na hasa Muhimbili wanabambikiwa sana kwenye list na hasa dawa.
Siyaandiki haya tokea hewani.
Changamoto Kwa wagonjwa na wanaowauguza zinawaweka kwenye nafasi kubwa ya exploitation.
Zingatia nani analipa ni bima au binafsi siyo suala linaloongelewa hapa.
Je umepata kulinganisha CT, MRI, Dialysis kwa hospitali binafsi?
Unafahamu alifanya sessions ngapi kwa wiki na kwa muda gani?
Vipimo kiasi gani hapo kati ya dialysis?
Dawa kiasi gani?
Alikuwa na tatizo gani/yapi mengine?
Angekuwa hospitali ya level hiyo huko binafsi ingekuwa kiasi gani?
Huko India session moja ni kiasi gani/ na huko India watu hawapotezi maisha?
NB: Just a process of denial to acceptance take it slowly, tusiwaumize watu zaidi kisaikolojia.
Neno ghali umelitoa wapi?Yote uliyoandika hapa ni maneno matupu. Suala la kulinganisha na hospitali binafsi linatoka wapi?
Si tumeambiwa vyakula vya wakulima si Mali ya umma? Tuheshimu visivyo umma kulipisha wanavyotaka.
Tujikite kwenye vya umma ambako pesa za umma zimewekezwa 100%. Hakuna aliyekwenda na chochote kama hisani au mtaji kwenye malu ya umma.
Chukua dialysis weka mahitaj tuone gharama yake kwa Mwananchi kama ni halali.
As simple as that.
Kwa nini ni vigumu kufanya hivyo?
Wewe unajua gharama halisi ya dialysis set up kabla ya hela ya serikali?Yote uliyoandika hapa ni maneno matupu. Suala la kulinganisha na hospitali binafsi linatoka wapi?
Si tumeambiwa vyakula vya wakulima si Mali ya umma? Tuheshimu visivyo umma kulipisha wanavyotaka.
Tujikite kwenye vya umma ambako pesa za umma zimewekezwa 100%. Hakuna aliyekwenda na chochote kama hisani au mtaji kwenye mali ya umma.
Chukua dialysis weka mahitaji tuone gharama yake kwa Mwananchi kama ni halali.
As simple as that.
Kwa nini ni vigumu kufanya hivyo?
Bei zinazingatia yaliyotajwa hapo juu mwanzo.
Pia, huweza kuongezwa kama ni bima kulingana na uhalisia kuwa si cash immediate.
Suala la kubambikiwa ni la mwenye gharama kukagua na kuridhika na gharama au kutoa maelezo pingamizi.
Njoo na gharama ukisema kwa level husika :
1: CT Gov. vs Private
2: MRI Gov. Vs Private
3: Dialysisi Gov. vs Private
4: Inpatient: Gov. Vs Private
Ndo maana nimekwambia, leta gharama halisi ya dialysis/CT bila cost sharing. BURE ALISHAKUFA.Private hizo ni mali binafsi ambako umma haukuwekeza lolote 100%.
Hispitali za umma umma umewekeza 100%.
Bado unataka mlinganisho upi?
Kwanini hutaki tuangalie operation costs? Hudhani hapo ndipo tungejikita kuona uhalali wa bei?
Neno ghali umelitoa wapi?
Unalinganisha na nini?
What is ur reference?
Umeambiwa cost sharing, unasema ghali kwa kulinganisha na nini?
Weka data?
Unahoji gharama ziko chini sana??Wapi nimesema ghali? Nimekuwa ninauliza uhalali wa bei. Kuuliza uhalali, ni kuuliza vigezo ambako ni kuuliza reference ndugu.
Mara kadhaa nimeandika haya:
"Hayupo anayekataa cost sharing ila break down ya gharama ni vyema vikajulikana, nani anaweka bei na vigezo gani.
Vinginevyo hapa ni ujanja ujanja tu."
Huko ni kuuliza reference.
Mbona unaruka ruka tu?
Mimi sijui. Ndiyo maana ninauliza.Wewe unajua gharama halisi ya dialysis set up kabla ya hela ya serikali?
Fanya home work yako.Wapi nimesema ghali? Nimekuwa ninauliza uhalali wa bei. Kuuliza uhalali, ni kuuliza vigezo ambako ni kuuliza reference ndugu.
Mara kadhaa nimeandika haya:
"Hayupo anayekataa cost sharing ila break down ya gharama ni vyema vikajulikana, nani anaweka bei na vigezo gani.
Vinginevyo hapa ni ujanja ujanja tu."
Huko ni kuuliza reference.
Mbona unaruka ruka tu?
Simple:Mimi sijui. Ndiyo maana ninauliza.
Wewe unajua? Au ni siri?
Unahoji gharama ziko chini sana??
Breakdown kamwombe mgonjwa, utazikuta.
Ni rahisi pia:Umeona naulizia breakdown za mgonjwa mmoja?
Ninaulizia breakdown za dialysis 1, MRI 1, CT Scan 1, operation 1 nk.
Hizo hazimhusu mgonjwa hizo zinamhusu anayelipwa!