Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12

Gharama za Matibabu ya Ndugai 33,000,000,000 ,Amezidi matibabu kwa Ujumla ya
1.Nyerere kutibu saratani ya damu
2.Mkapa akipifanyiwa operation alipopigwa Mguu kwa stuli pale Ikulu
3.Kikwete tezi dume
4.Madawa anayopatiwa Jiwe kila siku.
5.Samweli Sitta alivyolazwa,
Ndugai Mungu anakuona,

Jumla haifiki hiyo
 
Ana makinda aliwahisema jamani huyu asingekufa angekufa mwingine !!!! watu mkamkaripia ana!! sasamaisha ya ndugai weee!! yana urari mkubwa sana!! ila ya mbunge mwingine ama mtu mwingine wa kawaida wala ahatujui walipo maana wanaumwa hawajatuambia!!
 
Yes Mkuu, imagine pesa hizo kwenye hospitali zetu zingeboresha mambo mangapi? Mishahara haiongezwi nchini kwa kisingizio kwamba hakuna pesa halafu huyo nduli anaidhinisha mtu mmoja atumie almost 28 billions kwa matibabu yake kwa ugonjwa ambao haujulikani. Huu ni ubadhirifu wa kutisha wa pesa za walipa kodi.

Kwa maana alitumia kiasi cha Tsh. 27,360,000,000 kwa ya kawaida nadhani inasomeka bilion 27.360 kwa matibabu ya mtu mmoja!!
 
Tatizo Ndugai anajiona yeye ni banadamu daraja la 1 na hiyo kwashakoo yake anayoumwa.
 
Huu uzi umekosa hata support ya bavicha wenyewe kwa sababu hata akili zao wenyewe pamoja na kuwa za kinyumbu lkn zimeshindwa kuamini kwamba mtu anaweza kutumia billion 30 kwa matibabu tu
Zinahitaji maelezo hata kama ni dollar 10 ni pesa ya walipa kodi
Who the hell is he?
Uhai wake si bora zaidi kuliko uhai wa Mtz yeyote hasa wale waliolazwa mahospitalini kuishia kupewa panadol mpaka watakapofariki kwa kukosa matibabu stahiki

So next time punguza kebehi zako kwa WaTz
Ninyi si bora kuliko wananchi 50+ million
Tutazungumza kwa social media zote
Next....
 
Reactions: BAK
Substantiate your rhethorics.
 
Hii ni ainu. Ndio maana Bunge linamsumbua CAG for doing his work?
 
He still have the guts to attack Lissu in all ways
 
Wanaifilisi nchi majizi haya.

Mijitu ina mishahara minono na marupurupu kibao lakini bado inatibiwa kwa kodi za walalahoi,,,,,, khaaaaa
 
Mpaka muda huu sijakutana na Lumumba hata mmoja aisee kwenye comment
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15] USD million 12 ni sawa karibia kabisa na BILLION 30[emoji19][emoji19][emoji19] kweli kuna roho zina thamani kubwa sana
Zilitumika kununua uhai mkuu
 
ALITUMBIA NGAPI?????

​
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15] USD million 12 ni sawa karibia kabisa na BILLION 30[emoji19][emoji19][emoji19] kweli kuna roho zina thamani kubwa sana
Alafu leo anasema hajui alipo lissu!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…