blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,138
- 5,632
Mkuu muhimbili kwenyewe bei yakujifungua imepanda.Pale napamudu sana
Ila wana madokta wazuri sana
Ni kuwachambua tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu muhimbili kwenyewe bei yakujifungua imepanda.Pale napamudu sana
Ila wana madokta wazuri sana
Ni kuwachambua tu
Ova
Sema kwa ma diaspora pale lazma mpate huduma first classePale napamudu sana
Ila wana madokta wazuri sana
Ni kuwachambua tu
Ova
Mkeka wao si wa kitotoaAgha Khani ni wezi miaka mingi walikuwa hawajashtukiwa tu.
Hospital za private ni Kwa ajili hasa ya private sectorHahahah Aga Khan tulimpeleka ndugu alipata ajali ya pikipiki mfupa wa paja ukavunjika baada ya week bili ilikuja 25M yani bahati nzuri jamaa ni staff wa absa tena wa kwenye senior position ofisi ikasimamia show.
Si uende huko Kwa rahisi au umelazimishwa kwenda Aga KhanInaonekana uelewa wako mdogo. Mteja wa NHIF akienda pale Aga khan au hata Saifee huduma kama ni hiyo ya Uzazi kwa njia ya upasuaji yeye atahudumiwa sawa na yule aliyekuwa Saifee au hata Mbeya. Ishu hapa iko kwa NHIF ambaye analipia huduma ambayo mwanachama wake amepata. Huduma hiyo Aga Khan anataka alipwe 6m wengine kama saifee wanachaji 600k. Na hapo kumbuka Aga khan sio wateja wote wa NHIF wanapokelewa. Hatari na nusu.
Kwahiyo mamlaka za udhibiti zote zifutwe ili kila mmoja apange bei ya huduma yake ?Soda kwenye duka la mangi unainywa kwa shilingi 600, soda hiyo hiyo ukitaka kuinywa pale Samaki samaki mlimani City utainywa kwa shilingi 3000, gharama mara tano zaidi. Umeelewa nini?
Kinachoamua bei ya bidhaa au huduma ni Class ya mtoa huduma iliyolenga Class fulani ya wateja.
Nenda hospital za serikali sio kesi achana na Agha KhanaAgha Khani ni wezi miaka mingi walikuwa hawajashtukiwa tu.
Kuna kipindi pale nlikuwa na mgonjwa ulikuja mkeka huo wa mln karibia 50Sema kwa ma diaspora pale lazma mpate huduma first classe
Kuwakufuza hakukuondolei umaskini wako zaidi ya hasara ya Kodi kwa serikali yako maskiniTuwafukuze hao Aghakan ni majambazi
Kabisa kama mfuko wako mdogo agakhan pita napo mbali 😄We umakata kabima ka laki mbili unataka kwenda AG ,Kairuki si kitafuta shida huko,mbao hopeana sanaa
Hahahahah 50M sio poa mzeeKuna kipindi pale nlikuwa na mgonjwa ulikuja mkeka huo wa mln karibia 50
Shuguli ilikuwa syo ndg
Zile doctor visits 😄 nk balaaa
Watu kwenye kulipa tulitafutanaa
Ova
Yaani Agha Khan kumejaa wagonjwa malofa kibao mtu anaharisha mbio Agha KhanWe umakata kabima ka laki mbili unataka kwenda AG ,Kairuki si kitafuta shida huko,mbao hopeana sanaa
Propaganda hizi ujue...hiyo hospitali mliyoiingiza ya Saifee, gharama ya uzazi kwa kisu ni tsh 4,000,000Najiuliza Gharama zote hizo zinakuja kwa msingi upi?
Kwenda Agha khan na hauna hela ni kutafutia watu waonekane wabaya tuu...Si kuna Hizi Kairuki, Kitemgule, Bochi na zipo vizuri tuuView attachment 3069948
Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha Shilingi 600,000/=. Aga Khan wanataka kulipwa maradufu kwa asilimia 100 zaidi kuliko Hospitali nyingine.
Huduma ya kulaza wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Aga Khan wanataka kulipwa kiasi cha Shilingi 2,278,933, huduma hii kwenye Hospitali nyingine huwa ni kiasi cha shilingi 500,000/= na Shilingi 700,000/= ambayo ni bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ukijumuisha na huduma za ziada.
Aga Khan wanataka kutoza kiasi cha Shilingi 334,546 kwa huduma za uchunguzi kwa kupitia CT-Scan huku Hospitali nyingine zinatoza 120,000 hadi 150,000 ikiwa ni bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ukijumuisha na huduma za ziada. Kwanini bei iwe juu hivi? CT-Scan hizi hizi ambazo tumeona Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan amezinunua na sasa huduma zinapatikana nchi nzima kwenye Hospitali zote za Rufaa za Mikoa na nyinginezo ngazi za juu. Najiuliza Gharama zote hizo zinakuja kwa msingi upi?
Acha fix wewe. Unafikiri wote humu ni watu wasiojitambua kama ww.Kwanza Agakani tofauti na kufanya usafi kwenye tiba wana Madaktari Intern wote yaani hamna kitu pale
Ukienda na Mkeo hata kama hana shida ya kujifungua lazima afanyiwe upasuaji ingawa hili limekua janga la nchi nzima hasa miji mikubwa kila mtu kujifungua ni upasuaji ni aibu sana