Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Hiyo ni bei ya chumba cha kawaida tu.

Achana na hizo presidential suit.

Na bado jamaa wakajaza floor tatu.

Kwa nchi ambayo bado tupo kwenye level za mikopo.
Ushamba Mzigo kwa kweli hapa Tanzania tuna hoteli za Gharama kuliko hata Ritz. HAYT REGENCY WANA VYUMBA VYA VIONGOZI KWA VYA USD 10000. nenda. Singita Grumet USD 1500 chumba cha chini,Nenda Gran Melia Arusha vipo hadi Usd 900.
 
Umeleta mashtaka au imekushangaza...!!!!!
 
Ushamba tu na roho mbaya zinawasumbua! Humiyo gharama kwa hotel kubwa ni ndogo mno! Hapa Tanzania tu kuna hotel zina bei kubwa kuliko hizo. Sijui mnaishi mapori gani hata hamna habari.
 
Ninyi exposure yenu ndogo hadhi ya Rais anapaswa kukaa maeneo yenye security!

Unataka abanane na Roma manzese za Marekani?


Pia in Order to earn you must first inject something!

Hizo ni operating costs ambazo tunasubiri a faida
Atuambie hao waliochanga hizo fedha NI akina Nani !
 
Sio kweli mkuu, nimewahi kulala hapo kwa $450 kwa night. Kampuni ndio ililipia.
Pengine kampuni iliyokulipia wanapewa special rates hata hivyo kwa nchi masikini hayo matumizi ni ufujaji wa kodi za wananchi!
Hangaya Hana budi kujitathmini matumizi ya safari zake kwani hao nyuki wake wanaiga tabia na ndio maana wanaruka na helicopter!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…