Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.

Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.

Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.

Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.

View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126

Pesa ya wafanyabiashara ina tuhusu nini? Yaani wakupe pesa ya tour halafu uwapangie sehemu ya kulala?😂
 
Pengine kampuni iliyokulipia wanapewa special rates hata hivyo kwa nchi masikini hayo matumizi ni ufujaji wa kodi za wananchi!
Hangaya Hana budi kujitathmini matumizi ya safari zake kwani hao nyuki wake wanaiga tabia na ndio maana wanaruka na helicopter!!
Uko sahihi mkuu, serikali lazima ijitahidi kubana matumizi.
 
Ule ulikuwa msafara wa Rais, una hadhi yake na vivyo hivyo gharama zake, usitegemee uwe sawa na raia anayebana matumizi.
 
Mm pmj na ubahili wangu Wala cjashtuka kwa Bei hzo walitaka rais alale Dola 123 jmn. CDM wameona wamepoteza ktk kesi za kina mdee wanakuja kuanza kujadili garam za hoteli HV hamjawai kusikia rais wa Cameroon Paul bia alikodi hotel uswisi mwaka mzima Flor nzima yey na maafisa wake tu twende kwa bohari wa Nigeria alikah mwak nzima London anauguza tu tumbo mwaka mzimaaa

Embu CDM acheni propaganda
 
Hakuna justification yeyote kwa gharama zote hizi.

Ukizingatia ukali wa maisha tulionao na uwezo wa nchi yetu kumudu luxury kama hizi.

Kama kweli zimelipwa na wadau.

Hao wadau ni kina nani na wanafanya hivyo kwa malengo gani??

Kwanini huyo msamaria mwema hatumfahamu mpaka sasa??

We need an independent investigation into this matter As soon as practicable so as to clear our highest office in the country from any scandals unless we agree to condone such malpractices.
Mangapi yamepita hujaomba investigation? Hata kampuni zina operations cost ije kua ofisi ya raisi?
 
Ana hadhi mana bado ni Raisi. Tuache kulaumu kila kitu.

Ana hadhi humu humu nchini ni kidogo Afrika kwa wasiojielewa, sio huko. Tena na hii kuingia madarakani kwa wizi wa kura ndio anakuwa bure kabisa.
 
Rais ulitaka alale kwenye hotel ya aina gani??
Kwanza hapo naona wamemdhalilisha Rais wetu kama walimlaza kwenye hotel ya milioni mbili,

Mtoa Mada nenda hapo Zanzibar tu kakutane na bei za hotel.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Rais ulitaka alale kwenye hotel ya aina gani??
Kwanza hapo naona wamemdhalilisha Rais wetu kama walimlaza kwenye hotel ya milioni mbili,

Mtoa Mada nenda hapo Zanzibar tu kakutane na bei za hotel.
Hiyo bei ni ya chumba cha kawaida.

Hapo bado hujapewa zile presidential suits madame.

Presidential suite ni Milioni 60 kwa usiku mmoja.
 
Rais ulitaka alale kwenye hotel ya aina gani??
Kwanza hapo naona wamemdhalilisha Rais wetu kama walimlaza kwenye hotel ya milioni mbili,

Mtoa Mada nenda hapo Zanzibar tu kakutane na bei za hotel.
Screenshot_20220516-234540.png
 
Pengine kampuni iliyokulipia wanapewa special rates hata hivyo kwa nchi masikini hayo matumizi ni ufujaji wa kodi za wananchi!
Hangaya Hana budi kujitathmini matumizi ya safari zake kwani hao nyuki wake wanaiga tabia na ndio maana wanaruka na helicopter!!
Crazy presidential tours
 
Back
Top Bottom