Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.
Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.
Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.
View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Uko sahihi mkuu, serikali lazima ijitahidi kubana matumizi.Pengine kampuni iliyokulipia wanapewa special rates hata hivyo kwa nchi masikini hayo matumizi ni ufujaji wa kodi za wananchi!
Hangaya Hana budi kujitathmini matumizi ya safari zake kwani hao nyuki wake wanaiga tabia na ndio maana wanaruka na helicopter!!
Hata VP Kamalla Harris hakujua?
Mlitaka waweke mahema?Hiyo ni bei ya chumba cha kawaida tu.
Achana na hizo presidential suit.
Na bado jamaa wakajaza floor tatu.
Kwa nchi ambayo bado tupo kwenye level za mikopo.
Ana hadhi mana bado ni Raisi. Tuache kulaumu kila kitu.Hadhi ya rais wa Tanzania huko US?! Rais wa Tanzania ana hadhi gani huko US?
Mangapi yamepita hujaomba investigation? Hata kampuni zina operations cost ije kua ofisi ya raisi?Hakuna justification yeyote kwa gharama zote hizi.
Ukizingatia ukali wa maisha tulionao na uwezo wa nchi yetu kumudu luxury kama hizi.
Kama kweli zimelipwa na wadau.
Hao wadau ni kina nani na wanafanya hivyo kwa malengo gani??
Kwanini huyo msamaria mwema hatumfahamu mpaka sasa??
We need an independent investigation into this matter As soon as practicable so as to clear our highest office in the country from any scandals unless we agree to condone such malpractices.
Ana hadhi mana bado ni Raisi. Tuache kulaumu kila kitu.
Kabisa aisee! Ccm ni laana kubwa Sana!Basi tumepigwa na kitu kizito sana chenye ncha kali kichwani..
Hiyo bei ni ya chumba cha kawaida.Rais ulitaka alale kwenye hotel ya aina gani??
Kwanza hapo naona wamemdhalilisha Rais wetu kama walimlaza kwenye hotel ya milioni mbili,
Mtoa Mada nenda hapo Zanzibar tu kakutane na bei za hotel.
Kwa gharama za mabeberuTunaambiwa Rostam na wenzake wamejitolea kukipia kundi lote lile
Crazy presidential toursPengine kampuni iliyokulipia wanapewa special rates hata hivyo kwa nchi masikini hayo matumizi ni ufujaji wa kodi za wananchi!
Hangaya Hana budi kujitathmini matumizi ya safari zake kwani hao nyuki wake wanaiga tabia na ndio maana wanaruka na helicopter!!