Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.

Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.

Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.

Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.

Screenshot_20220516-203332.png
Screenshot_20220516-203320.png
Screenshot_20220516-202033.png
Screenshot_20220516-203222.png
 
Ninyi exposure yenu ndogo hadhi ya Rais anapaswa kukaa maeneo yenye security!

Unataka abanane na Roma manzese za Marekani?

Pia in Order to earn you must first inject something!

Hizo ni operating costs ambazo tunasubiri a faida
 
Hiyo ni bei ya chumba cha kawaida tu.

Achana na hizo presidential suit.

Na bado jamaa wakajaza floor tatu.

Kwa nchi ambayo bado tupo kwenye level za mikopo.
 
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.

Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.

Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.

Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.

View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Dah!.. ndio kulamba asali huko.
 
Hiyo ni bei ya chumba cha kawaida tu.

Achana na hizo presidential suit.

Na bado jamaa wakajaza floor tatu.

Kwa nchi ambayo bado tupo kwenye level za mikopo.
Si mnasemaga tupo uchumi wa Kati? Hiyo mikopo inatoka wapi? Msijisahaulishe kuwa hii nchi ni tajiri kwa kadri ya mahubiri ya mzilankende Na akaifikikisha kwenye uchumi wa kati ghafla.
 
Back
Top Bottom