Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Ninyi exposure yenu ndogo hadhi ya Rais anapaswa kukaa maeneo yenye security!

Unataka abanane na Roma manzese za Marekani?


Pia in Order to earn you must first inject something!

Hizo ni operating costs ambazo tunasubiri a faida
Walitaka akafikie kwenye 'project' neighborhoods za Bronx au Harlem[emoji1787][emoji1787], wa Tz ni shida sana na wanaona 700$ ni bei ya ajabu sana.
Kwa hadhi ya rais cha kwanza huwa ni usalama wake.
 
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.

Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.

Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.

Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.

View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Wanasemaga we kaa umezubaa wenzio tunakula Nchi !! Salaaleeh !! Lakini sasa utashangaa Unaweza usipate usingizi mpaka kunakucha humo chumbani lakini nje Receptionist anasinzia kwenye kiti chake !!!
 
Siungi mkono matumizi ya hovyo kama haya.

Ila nina swali kipindi kile Jiwe yupo inavyoonekana wewe ulikua mnufaika maana mapambio uliyajaza hapa.

Vipi ulitupwa nje ya mfumo?

Na nyie kwa ile misafara ya dikteta unafikiri tulikua hatujui maposho mnayolipana japo mlikua mnakosa chance tu ya kukwea pipa kuja majuu.
 
Chato kuna gharama gani ww panzi!!
Haa haa zile night allowance za msafara!! Na mafuta ya safari.

Nje ya mada! Kwani Ile hotel ya kitalii aliyokuwa anajenga Hamis Kwa fedha za walipa Kodi, ilifikia hatua ya kukodisha chumba shs ngapi!?
Au nayo imekuwa gofu!?

Haile Jah!
 
Lipa wewe kwa pesa yako hujakatazwa.

Ila kama ni fedha za umma tunyo haki ya kuuliza.

Ukizingatia ugumu wa maisha tulionao na utaratibu wa kukopa kwenye mambo ya msingi lakini kwenye bata kama hizi fedha zipo za kutumbua.
Ugumu wa maisha bongo umeanza leo kwani?
Kutesa kwa zamu Bob

Ova
 
Ninyi exposure yenu ndogo hadhi ya Rais anapaswa kukaa maeneo yenye security!

Unataka abanane na Roma manzese za Marekani?


Pia in Order to earn you must first inject something!

Hizo ni operating costs ambazo tunasubiri a faida
Kwani alikuwa na ulazima wa kwenda huko?
 
Tuache gubu kidogo na tusiwe tunadandia mada tu, sasa budget ya Rais ilipitishwa na nani? sio wabunge ambao ndio wawikilishi au mnadhani bunge la budget kazi yake ni nini? pesa imepitishwa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya Rais pale ndio kuuliza sio budget ikishapita unataka maelezo ili iweje? fuatilieni budget mjue misingi yake nini sio kusubiri hotuba ya mwisho kujuwa nini kimezidi nini kimepungua.
Yule aliyekuwa akitembea na mabegi ya hela akigawa minoti, alitulemaza akili, watu wakiamini na wao wanagaiwa hela za mtu binafsi, kumbe ni pesa za Kodi tokea bajeti ya ofisi ya raisi, ambazo alihakikisha CAG hazi audit!
 
Back
Top Bottom