Gharama ya kununua Radi huko Rukwa ni Tsh ngapi? Je, naweza fanyiwa Delivery?


Subiri uchaguzi uishe, sasa hivi vifaa vya kazi pia vimepanda sana bei.

Uchaguzi ukiisha hata kwa 100,000 utapata. Usipofanya biashara sasa hivi unasubiri miaka mitano mingine.
 
Nenda Sumbawanga kijiji cha Chipu . Luna mzee nimemsahau jina radi zake kali sana
 
Nenda kijiji cha Chipu , Sumbawanga kuna mzee nimemsahsu jina radi zake ni Kali sana
 
Mi kuna mzee aliniuziaga kipande cha jua nikakizika kwenye shamba la jirani yangu muhaya alikuwa anapenda sana kumega mipaka ya eneo langu, ngoja ntaongea nae nijue kama ana huduma ya radi pia then ntakujulisha
 
Hii bei angalau nasi wa uchumi wa kati tunaweza imudu. Na hii sera nimeipenda.kazi inafanyika kwanza ndo unalipa.so haina utapeli. Unasubiria simu tu kuwa tayari radi imepiga sehemu. Unalipa unaondoka zako home....safi.na je anaweja weka hata branch huku dar?

Kwa upande wa Kigoma,bei ni 45,000/= unalipia baada ya kazi kufanyika.
 
Alikuuzia kwa tsh ngapi?

Mi kuna mzee aliniuziaga kipande cha jua nikakizika kwenye shamba la jirani yangu muhaya alikuwa anapenda sana kumega mipaka ya eneo langu, ngoja ntaongea nae nijue kama ana huduma ya radi pia then ntakujulisha
 
Mganga anafatwa.
 
Hawa jamaa waliokuwa wananambia tsh 70,000 ni madalali? Daaahh.... Jamaa walitaka kunipiga hapa hapa. Nashukuru sana mkuu. Kumbe kwa 30,000 tu napata? Na je nikitaka nyingi hamna punguzo? Kuna baadhi ya wanasiasa nao wanastahili wapate.

bei ya radi ni elfu kumi na tano kama inapiga pale pale sumbawanga ila kama ya mbali elfu 30 nakumbuka niliwahi soma hii habari kwenye gazeti la mwananchi
 
Hakuna radi huku, ni stori za kusogezea muda tu, na pengine wanaokuambia hivyo wana nia ya kukutapeli. Kimbilio pekee ni MUNGU, achana na ushirikina, utaabika duniani na mbinguni
Mungu na hizo radi zote ni imani,Itafanya kazi kadri mhusika anavyoamini.binafsi yangu nilishuhudia huko njombe vijijini sehemu panaitwa kidegembye mwaka Jana kuna jamaa alitumiwa hiyo radi akiwa saloon na kulikuwa Hanma mvua na ilikufa peke take.
Mkuu haya mambo yapo haijalishi unayaamini au huyaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…