Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Naelewa kuwa yapo, ila nimemshauri aachane nayo... Kimbilio pekee ni MUNGU, achana na ushirikina, utaabika duniani na mbinguni
Mkuu haya mambo yapo haijalishi unayaamini au huyaamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa kuwa yapo, ila nimemshauri aachane nayo... Kimbilio pekee ni MUNGU, achana na ushirikina, utaabika duniani na mbinguni
Mkuu haya mambo yapo haijalishi unayaamini au huyaamini.
Nakutumia namba PM tuwasilianeHuyu jamaa amekuwa akinifuatilia muda mrefu sana. Jumamosi kidogo nimchane na risasi pajani.but tukayamaliza. Leo nmekuta anaendelea kunipikia majungu.
Ni muda mrefu nlimwambia majungu si mtaji.lakini naona kawekeza sana kwenye hayo. Jamaa ana roho ya kichawi kabisa.yaani hivi mnacheka naye lakini ukigeuka tu anakusema vibaya sana.baadaye atakupigia simu akikuita bro n.k
Nlishamwambia apite kushoto nipite kulia ila naona haelewi.nmeona tusigawane majengo ya serikali.nirudi kwenye asili yetu.
Rukwa aka Sumbawanga nasikia wanatengeneza RADI. Radi zao hazitegemei msimu wa mvua. Je kuna mtu anafahamu gharama zake? Mi staki ile radi grade 1 ya kuua kabisa.
Hapana. Nataka ya kumchania chania nguo zote mbele za watu na kumgaragaza chini kinyama...kumpa michubuko mwili mzima.je kwa radi hiyo itakuwa Tsh. ngapi?
Pia nataka nijue kama nikinunua ni lazima niifate kiwandani au wanaweza ituma kwenye magari ya mikoani au posta?
Ushauri wangu pia. Kama wanaweza wangefungua vituo huku kuwe na agents wao ili tuwe tunapata hizo radi kirahisi tu kuwatumia watesi wetu.hii itatuondolea hbr ya kufuatilia kesi na kuwekwa ndani.
WALIOKO SUMBAWANGA/RUKWA MKOA. PLEASE NAOMBA MSAADA WENU.MNIPE BEI NA PIA NAMNA YA KUPATA HIYO BIDHAA.ASANTENI.
mia 2 tu mzee tunapima, yaan ni shoti ya bapaHuyu jamaa amekuwa akinifuatilia muda mrefu sana. Jumamosi kidogo nimchane na risasi pajani.but tukayamaliza. Leo nmekuta anaendelea kunipikia majungu.
Ni muda mrefu nlimwambia majungu si mtaji.lakini naona kawekeza sana kwenye hayo. Jamaa ana roho ya kichawi kabisa.yaani hivi mnacheka naye lakini ukigeuka tu anakusema vibaya sana.baadaye atakupigia simu akikuita bro n.k
Nlishamwambia apite kushoto nipite kulia ila naona haelewi.nmeona tusigawane majengo ya serikali.nirudi kwenye asili yetu.
Rukwa aka Sumbawanga nasikia wanatengeneza RADI. Radi zao hazitegemei msimu wa mvua. Je kuna mtu anafahamu gharama zake? Mi staki ile radi grade 1 ya kuua kabisa.
Hapana. Nataka ya kumchania chania nguo zote mbele za watu na kumgaragaza chini kinyama...kumpa michubuko mwili mzima.je kwa radi hiyo itakuwa Tsh. ngapi?
Pia nataka nijue kama nikinunua ni lazima niifate kiwandani au wanaweza ituma kwenye magari ya mikoani au posta?
Ushauri wangu pia. Kama wanaweza wangefungua vituo huku kuwe na agents wao ili tuwe tunapata hizo radi kirahisi tu kuwatumia watesi wetu.hii itatuondolea hbr ya kufuatilia kesi na kuwekwa ndani.
WALIOKO SUMBAWANGA/RUKWA MKOA. PLEASE NAOMBA MSAADA WENU.MNIPE BEI NA PIA NAMNA YA KUPATA HIYO BIDHAA.ASANTENI.
Alinitoza 50,000, blanket moja na koti.Alikuuzia kwa tsh ngapi?
Nami nitumie please.Nakutumia namba PM tuwasiliane
nyingi pesa yako tu we ingia sumbawanga hapo mzigo upo wa kutoshaHawa jamaa waliokuwa wananambia tsh 70,000 ni madalali? Daaahh.... Jamaa walitaka kunipiga hapa hapa. Nashukuru sana mkuu. Kumbe kwa 30,000 tu napata? Na je nikitaka nyingi hamna punguzo? Kuna baadhi ya wanasiasa nao wanastahili wapate.
Duu maisha haya bado yapo?Mi kuna mzee aliniuziaga kipande cha jua nikakizika kwenye shamba la jirani yangu muhaya alikuwa anapenda sana kumega mipaka ya eneo langu, ngoja ntaongea nae nijue kama ana huduma ya radi pia then ntakujulisha
Ila kama hana kosa inakurudia ndiyo masharti yake, hairudi bila kitu [emoji23][emoji23]Mkuu natamani Radi... Hii impige mchana wa jua kali. Tena akiwa posta katikati ya watu mpige mpaka achakae.
Dah huyu jamaa kweli humpendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu natamani Radi... Hii impige mchana wa jua kali. Tena akiwa posta katikati ya watu mpige mpaka achakae.
Si hadithi ni kweli miaka ya 90 na, kirando hukoSumbawanga acha tu kuna hadithi hadi leo sijaiamini kabisa.
* Mwewe alinyanyua ng'ombe mkubwa tena mzima akapaa naye juu akaanza kumtafuna chini ikawa inadondoka mifipa tu#
"Chilanduzi Ansi ulozi"Ilikuwa fresh lakini?na hiyo bei ulinunulia swanga kwenyewe au hapa town? Kwa bei ya jumla wanaweza fanya tsh ngap
Kumbe Kuna hadi long rangebei ya radi ni elfu kumi na tano kama inapiga pale pale sumbawanga ila kama ya mbali elfu 30 nakumbuka niliwahi soma hii habari kwenye gazeti la mwananchi