Gharama ya kununua Radi huko Rukwa ni Tsh ngapi? Je, naweza fanyiwa Delivery?

Gharama ya kununua Radi huko Rukwa ni Tsh ngapi? Je, naweza fanyiwa Delivery?

Hii wanauza wapi ninunue moja kwa ajili ya lissu maana kazidi kuwashwa huko nyuma. Wamam naniliu huko ubelgiji kaja siku ya kwanza tu maandamano
 
Tupo ileje ..Tunahamisha mimba kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanamke Aliyeikataa..
Tunafanya delivari mikoani....
Wahi sasa
 
Hii bei angalau nasi wa uchumi wa kati tunaweza imudu. Na hii sera nimeipenda.kazi inafanyika kwanza ndo unalipa.so haina utapeli. Unasubiria simu tu kuwa tayari radi imepiga sehemu. Unalipa unaondoka zako home....safi.na je anaweja weka hata branch huku dar?
Hii shughuli hainaga branch na inabidi uonane na mtoa hudma LIVE ili akupime Kama utastahimili na una ubumilivu na huna huruma. Pesa unalipa baada ya kazi. Angalizo... Kama utakua huna hiyo pesa utakua kitoweo Cha kiboko ziwa rukwa
 
Tupo ileje ..Tunahamisha mimba kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanamke Aliyeikataa..
Tunafanya delivari mikoani....
Wahi sasa
Kwa mwanamke aliye ikataa. Hebu rekebisha usemi wako Kisha tufanye biashara. Kuna mtu kampiga mimba mpwa wangu halafu analeta za kuleta
 
Hahahah chief unataka ununue radi la kimataifa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom