Gharama ya kununua Radi huko Rukwa ni Tsh ngapi? Je, naweza fanyiwa Delivery?

Nakutumia namba PM tuwasiliane
 
mia 2 tu mzee tunapima, yaan ni shoti ya bapa
 
Nakutumia namba PM tuwasiliane
Nami nitumie please.
Kuna Jamaa anatanua na hela zangu kama za kwake vile, kila napompeleka anahonga. Nataka impige Radi mchana wa Jua kali
 
Hawa jamaa waliokuwa wananambia tsh 70,000 ni madalali? Daaahh.... Jamaa walitaka kunipiga hapa hapa. Nashukuru sana mkuu. Kumbe kwa 30,000 tu napata? Na je nikitaka nyingi hamna punguzo? Kuna baadhi ya wanasiasa nao wanastahili wapate.
nyingi pesa yako tu we ingia sumbawanga hapo mzigo upo wa kutosha
 
Sumbawanga acha tu kuna hadithi hadi leo sijaiamini kabisa.

* Mwewe alinyanyua ng'ombe mkubwa tena mzima akapaa naye juu akaanza kumtafuna chini ikawa inadondoka mifipa tu#
 
Sumbawanga acha tu kuna hadithi hadi leo sijaiamini kabisa.

* Mwewe alinyanyua ng'ombe mkubwa tena mzima akapaa naye juu akaanza kumtafuna chini ikawa inadondoka mifipa tu#
Si hadithi ni kweli miaka ya 90 na, kirando huko

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Yoko mtu huko Mbali sana ila yule dingi atumi radi anatumiwa nyoka anamgonga mara 3 afi ilia asipokatwa mguu anakua chiba
 
Usitapeliwe,ukipata ya ghali sana ni 10,000,hata ya jero unapata integemea tu na wewe unataka kumpigaje mtu wako na mtu wako pia kajipangaje maana unaweza tuma hata ya mamilioni na ukayeyukia angani.
 
Chizi maharifa kwa kutunga story utadhani kweli aiseee...unataka radi ya grade uchawi na vidhungu wapi na wapi
 
Modz inabidi waliangalie hili swala ikiwezekana watufungulie Jukwaa letu ambao tunataka kujifunza haya mambo aaaaaah emu pendekezeni jina la jukwaa
 
Radi ya Nini? We mtaje Mbowe au Tundu Lissu. Hawa wanaogopewa mpaka na mawaziri itakua huyo kibaka?
 
bei ya radi ni elfu kumi na tano kama inapiga pale pale sumbawanga ila kama ya mbali elfu 30 nakumbuka niliwahi soma hii habari kwenye gazeti la mwananchi
Kumbe Kuna hadi long range
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…