Hilo ndilo suluhuGharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali mno na inatukatisha tamaa. Kutuma mathalani Tshs.1m/= kwa anayetuma anakatwa Tshs.16,000 na anayepokea anakatwa Tshs.14,000.
Hivi kweli ni haki?. Kwa Mtanzania wa kawaida kiasi hicho anaweza kununua madebe matatu ya mahindi kwa ajili ya familia au kilo 4 za nyama kwa ajili ya familia. Nina imani watu wengi watahamia Benki na kuanzia sasa mimi binafsi nimeacha kutumia mitandao kwa ajili ya kutuma fedha.
Uamuzi uliofanywa na Serikali ulikuwa uamuzi ambao hauna manufaa kwa wananchi.
Haya makato yanaanza lini? Una uhakika anaepokea anakatwa hela (14,000)?Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali mno na inatukatisha tamaa. Kutuma mathalani Tshs.1m/= kwa anayetuma anakatwa Tshs.16,000 na anayepokea anakatwa Tshs.14,000.
Hivi kweli ni haki?. Kwa Mtanzania wa kawaida kiasi hicho anaweza kununua madebe matatu ya mahindi kwa ajili ya familia au kilo 4 za nyama kwa ajili ya familia. Nina imani watu wengi watahamia Benki na kuanzia sasa mimi binafsi nimeacha kutumia mitandao kwa ajili ya kutuma fedha.
Uamuzi uliofanywa na Serikali ulikuwa uamuzi ambao hauna manufaa kwa wananchi.
Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali mno na inatukatisha tamaa. Kutuma mathalani Tshs.1m/= kwa anayetuma anakatwa Tshs.16,000 na anayepokea anakatwa Tshs.14,000.
Hivi kweli ni haki?. Kwa Mtanzania wa kawaida kiasi hicho anaweza kununua madebe matatu ya mahindi kwa ajili ya familia au kilo 4 za nyama kwa ajili ya familia. Nina imani watu wengi watahamia Benki na kuanzia sasa mimi binafsi nimeacha kutumia mitandao kwa ajili ya kutuma fedha.
Uamuzi uliofanywa na Serikali ulikuwa uamuzi ambao hauna manufaa kwa wananchi.
Hahaa hida nipale unapotaka kutuma pesa mkoa kwa mkoa arifuMuda wa kutafuta boda boda waaminifu
Kwa hili, Wapiga kura wake, na wana YANGA wametuangusha.Tangu lini waziri wa Fedha kutokea huo mkoa?
Mambo ya mekua magumu mama anekosa washauri wa uchumi wa Nzuri, wanamtegeshea afeili ndo wajitokezo kumsemaKwa zamani ilikuaje
Mkoa kwa mkoa ni benki tu hamna namna benki makato yao hayazidi buku 6Hahaa hida nipale unapotaka kutuma pesa mkoa kwa mkoa arifu
Hii ilikuwa sababu tosha ya kumtoa huyo Mwigulu na kutafta kicha kingine cha uchumi!Mambo ya mekua magumu mama anekosa washauri wa uchumi wa Nzuri, wanamtegeshea afeili ndo wajitokezo kumsemaView attachment 1848321
Mambo ya mekua magumu mama anekosa washauri wa uchumi wa Nzuri, wanamtegeshea afeili ndo wajitokezo kumsemaView attachment 1848321
Jana usiku nimetuma sh milioni moja na elfu themanini, nimekatwa 5,000.00Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali mno na inatukatisha tamaa. Kutuma mathalani Tshs.1m/= kwa anayetuma anakatwa Tshs.16,000 na anayepokea anakatwa Tshs.14,000.
Hivi kweli ni haki?. Kwa Mtanzania wa kawaida kiasi hicho anaweza kununua madebe matatu ya mahindi kwa ajili ya familia au kilo 4 za nyama kwa ajili ya familia. Nina imani watu wengi watahamia Benki na kuanzia sasa mimi binafsi nimeacha kutumia mitandao kwa ajili ya kutuma fedha.
Uamuzi uliofanywa na Serikali ulikuwa uamuzi ambao hauna manufaa kwa wananchi.
Wanazungumzia kupandishwa gharama za kutuma fedha. Hawaulizi waliotuma jana usiku walikatwa sh ngapi!!!!Jana usiku nimetuma sh milioni moja na elfu themanini, nimekatwa 5,000.00
Na wanang'ang'ania zile sehemu nyeti kama simba. Simba wakati wa kuwinda akishika winda, anakaba koo kwani anajua windo haliwezi kujitetea kirahisi. Serikali nayo inajua ''wadanganyika'' ni mafukara wa kutupwa, hivyo suala la kuhemea kwa kutumiana visenti haliepukiki. Wanang'ang'ania hapo hapo. Mpaka siku ''mdanganyika'' atakapoamka na kujikomboa tusitegemee mambo kujibadilisha yenyewe.CCM ilishafeli siku nyingi sana,ni matahiri pekee ndiyo wanayoiamini kwa sasa.