Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?

Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
 
Simba hawqjakwenda Dubai kuweka kambi, timu inatumiwa na wauza unga kusafirishwa Dawa za kulevya, za Mwizi ni arobaini.
 
Wewe Uto unaifahamu saikolojia ya akili?
 
Pamoja na kumtukana brother Kibu humu JF ,il ndio hivyo kishakwea pipa Dubai anakula upepo.
 
Tatizo lako ni kuwashwa....

Pilipili iko shambani wewe inakuwashia nini?
 
Kupanga ni kuchagua. Nyie sajilini kisha wekeni ksmbi avic town, kirafiki chezeni na friends rangers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…