Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Marekani sio mchezo. Hivi vyote bajeti yake ni US Dollar 118 ambayo ni sawa na Tshs 275,000 hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mfumuko wa beiKwa nchi za nje kulikoendelea hiyo ni kawaida sana
Hivi america hawana bodaboda?Huko marekani ukiwa na kipato cha chini ya USD 40,000 kwa mwaka unawekwa kwenye daraja la maskini...au watu wenye kazi mbovu mbovu...😁😁😁
Aiseeeeeee laki 2 kwa vutu hivyo! mbona sio mchezo ,hapo hamna hata nyama!!!!duh kasheshe!Marekani sio mchezo. Hivi vyote bajeti yake ni US Dollar 118 ambayo ni sawa na Tshs 275,000 hivi.
View attachment 2261962
ukweli 💯Mtu yupo kwenye nchi zilizoendelea analinganisha maisha ya nchi zinazoendelea.
Aje huku bongo. Kuipata U$119 ni mwezi mzima
Wanakuja kukwambiaHivi america hawana bodaboda?
Aiseeeeeee laki 2 kwa vutu hivyo! mbona sio mchezo ,hapo hamna hata nyama!!!!duh kasheshe!
HahahaHivi america hawana bodaboda?
She just being pompousHuyu ni modo wa kimataifa. Tena tajiri kweli kweli. Si ajabu kaenda kwenye maduka ya bei mbaya kwa ajili ya watu mashuhuri. Na pia naona vitu ni organic. Bei ya vitu hivi kwa kawaida huwa ghali sana. Kwa hali yake wala haishangazi na nadhani hata hiyo post yake ni kama kukejeli tu.
Watu wa kawaida tunaenda Costco huko na Sam's Club. Kwa hiyo pesa napata vitu vya kula mwezi mzima kama niko peke yangu!
Ukifananisha na ukukwetu utateseka kuna mzungu aliniambia Norway vitu bei chini sana mkate Euro 3 mimi nikamshangaa ukiigeuza hiyo Euro 3 kwa shilingi ni zaidi ya elfu 6 nikabaki kuduwaa maana Bongo mkate ni nusu dollarNdio hapo mimi huwa nashindwa kuelewa ni wapi wenye uchumi mzuri kati yetu na wao..ikiwa kwa hapa Bongo bidhaa zote hizo sio zaidi ya elfu 50 -80.