Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

Mbona nasikia Marekani ukifanya kazi kwa bidii unapata hela tu kwa sababu fursa za hela ni nyingi, au ipoje? Mnaoishi huko mtufafanulie!
 
Bei ya kawaida sana, ni sawa uingie duka A ununue soda kwa sh. 500 na mwingine aingie duka B anunue soda ile ile kwa 5000; Kinachoongeza bei ni mazingira, ukishindwa kwenda duka B, nenda duka A; na si lazima kwenda duka B
 
Ukifananisha na ukukwetu utateseka kuna mzungu aliniambia Norway vitu bei chini sana mkate Euro 3 mimi nikamshangaa ukiigeuza hiyo Euro 3 kwa shilingi ni zaidi ya elfu 6 nikabaki kuduwaa maana Bongo mkate ni nusu dollar
Mkate wa nusu dola unapatikana wapi sasa hivi mkuu?
 
Hio ni hela ambayo mtu anaelipwa kiasi kidg sana cha pesa na anafanya kazi zaidi ya masaa 8 .ko ni kiasi cha kawaida tu.maana mfano mm nipo usa texas nimsaidi wa gari la taka kwa saa nalipwa dolla 20 nafanya kaz masaa 8 hadi 9 kwa siku nalipwa kama dolali 180 ambazo ni sawasawa na 414,000 kweli ntashindwa kununua hayo mazaga ambayo ntayatumia zaidi ya week maan mm sina familia.
Nisawa sawa na mtu tz amabye anafanya kazi kama saidia fundi kwa siku akalipwa buku 10 ni yale yale afu huku ni nafuu kwakua huku unafanyakazi had uchanganyikiwe ili uweze kulipa bills chungu mzima.ko hio inakutengenezea spirit ya kipambanaji huku unawaza tu hela kama unaokota vile 😂bongo ili upate hela lazima uwe na idea napo utateseka sana,pili uwe na connection
 
Back
Top Bottom