Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

Marekani sio mchezo. Hivi vyote bajeti yake ni US Dollar 118 ambayo ni sawa na Tshs 275,000 hivi.

View attachment 2261962
Bila nyma Wal kuku duh ila pesa ziko kule mzungu mmoja allinipa Dola 200 alinimbia kbsa hz pesa kwako hata kwa siku haitoshi. Kula wee na mtot

Akanimbka kwa Africa hz pesa kwa tz unaweza kununua bajeti ya mwezi mzimaa
 
Ndio hapo mimi huwa nashindwa kuelewa ni wapi wenye uchumi mzuri kati yetu na wao..ikiwa kwa hapa Bongo bidhaa zote hizo sio zaidi ya elfu 50 -80.
Babu usifikirie Kam mtu ambaye ajaenda shule kbsa uchumi wa marakeni Ni mkubwa kwamba sis kuufikia Ni miaka 400 net ndio tufike angalau 40 % ya uchumi wake
 
Marekani kwa Siku unauwezo wa kuingiza $72 kwa mtu wa kawaida kabisa, ukiwa mfanyaji kazi.
 
Ukifananisha na ukukwetu utateseka kuna mzungu aliniambia Norway vitu bei chini sana mkate Euro 3 mimi nikamshangaa ukiigeuza hiyo Euro 3 kwa shilingi ni zaidi ya elfu 6 nikabaki kuduwaa maana Bongo mkate ni nusu dollar
Super loaf [emoji506] dollar [emoji385] Moja Mkuu
 
Aiseeeeeee laki 2 kwa vutu hivyo! mbona sio mchezo ,hapo hamna hata nyama!!!!duh kasheshe!
Hakuna ulinganifu wa thamani, yaani Tsh vs Dollar labda kwenye kubadilisha tu kwenye maduka ya bereau de change.

Nchi wanazotumia Us dollar gharama za vitu zitakustaajabisha pale mawazo yako yakiwa kila kitu unathaminisha kwa Tshs, kumbe bei hizo kwao ni ndogo na ni za kawaida tu.

Kwa mfano boga Marekani linauzwa Usd 5.
Sasa thamani hiyo ya fedha ukiilinganisha na Tshs utabakia umeduwaa!
 
Ukifananisha na ukukwetu utateseka kuna mzungu aliniambia Norway vitu bei chini sana mkate Euro 3 mimi nikamshangaa ukiigeuza hiyo Euro 3 kwa shilingi ni zaidi ya elfu 6 nikabaki kuduwaa maana Bongo mkate ni nusu dollar
Exchange rate gani unatumia ..yani euro tatu ni elf 6😁 mkate nusu dola,,😁 inamaana dola ni elf mbili sasa
 
Bongo kuna mtu analipwa 90,000 kwa mwezi kila siku ni sawa na shilingi 3000 na wengine wanalipwa 40k mpk 60k kwa wafanyakazi wa ndani. Huko kuna mtu analipwa hivyo?
Kule pesa ipo hata km vitu vipo juu.
Kama mtu anaweza kutumia U$119 kwa bongo mtu anaipata kwa miezi 2
Bahati kubwa sana kuzaliwa bongo.
 
Back
Top Bottom