Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Of course ni kubwaBado ni kubwa sana
Tokea mwanzo walikosea business model na inakua ni ngumu kukubaliwafanyeje sasa Shirika linazalisha hasara badala ya faida.
230,000 kwa one way bado ni kubwaOf course ni kubwa
Haya mashirika, ni kwa vile wamekosa upinzani wa kutosha ndiyo maana bei zimekuwa juu
Ingekuwa enzi za fastjet, hapo watu wangelipa 230,000 hivi kwa safari moja
Ni flight ya masaa mangapi? Kia to dar 800k is a joke. 800k ni trip ya Dubai one wayJohannesburg kwenda Durban unafika saa saba na nusu unakata ticket ya ndege nusu saa mbele uondoke unalipia rand 700 mpaka 900 haifiki hata 160,000 Tsh na ndege zinajaa zile balaa..
Tanzania kodi tu ya Ticket moja inafika Tsh 100,000 bado gharama zingine niliwahi kutaka kwenda Songea haraka kutoka Daslm walitaka nauli ya Ticket moja laki sita sawa na nauli ya Harare Lusaka au JHB kwa Malawi Air.
Kuna route ya DSM - Mwanza nililipa atcl shilingi 525,000 one way230,000 kwa one way bado ni kubwa
Kubwa mno. Imagine dar Dubai return ticket mpaka 1.2m unapata, Sasa flight ya lisaa kimoja eti laki nane. Round ticket ya dar kia ikizidi ni 400k. One way ni 200kKuna route ya DSM - Mwanza nililipa atcl shilingi 525,000 one way
Kwa ufupi, gharama za kusafiri na ndege Tanzania ni kubwa hadi watu wanahisi ni anasa kupanda ndege ๐
Ndiyo maana nimesema hapo juu, ni kukosekana kwa ushindani wa kibiasharaKubwa mno. Imagine dar Dubai return ticket mpaka 1.2m unapata, Sasa flight ya lisaa kimoja eti laki nane. Round ticket ya dar kia ikizidi ni 400k. One way ni 200k
Pale kama sio mbali ila Kia to Dar ni karibu mimi kuna vitu home huwa hata sijisumbui kuuliza labda Mbeya to Dar naona nauli zao ni reasonable hiyo nauli ya SA wao ndio wapo juu kuliko Flight zote..Ni flight ya masaa mangapi? Kia to dar 800k is a joke. 800k ni trip ya Dubai one way
Sio wamekosa ushindani wao wana mawazo ya kizamani ndege lazima iwe juu gharama zake wakati sio kweli.Ndiyo maana nimesema hapo juu, ni kukosekana kwa ushindani wa kibiashara
Yule Fast Jet aliijulia hii biashara, bei nafuu ya nauli kwa Kila route
Hata ya December 2026 bado iko juu Mkuu. See attached.Ukichelewa kukata tiketi, nauli huwa juu
Kuna siku nilikuwa na dharula ya safari, nililipia shilingi 975,000 kutoka DSM hadi Arusha, one way ๐
Ni kweli Mkuu, ingekuwa mashirika ya ndege ya nje yanaruhusiwa kupiga route za humu ndani, mbona atcl ingekosa abiria labda kwa safari za wakubwa tuSio wamekosa ushindani wao wana mawazo ya kizamani ndege lazima iwe juu gharama zake wakati sio kweli.