Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

Kuna fast jet ipo Zimbabwe kutoka Livingstone kwenda Harare wana bei kama ya bus sasa hivi wameanzisha safari ya UK na America naona wanaenda vizuri wacha sisi tuendelee kuona flight ni kitu cha ajabu sana na kuweka nauli kama wanataka kumtoa mtu figo.
 
Kuweni na imani na Wazee 🤭

Kwahiyo wote humu tunaojadili changamoto hiyo, tuko mawindoni 🙌
Wazee ni hatari sana. Na yule ERoni alikuwa ananikandia kuwa nina ID mbili kumbe mzee ana ID lukuki hadi ya shwaziniga kwa ajili ya kutrap nyama nzuri, Duuh aisee. Humu ukikaa kudhani nyama ni ngumu kupata unaishi na delusion tu.
 
Acheni kutusema vibaya Wazee wenu

Mbona Mimi nimetulia zangu tu, Ukiona nalilia humu ujue nimeagiza Kiko na haijanifikia tu lakini sio mambo hayo 🤭

Kuweni na huruma na Wazee 🤗
 
Acheni kutusema vibaya Wazee wenu

Mbona Mimi nimetulia zangu tu, Ukiona nalilia humu ujue nimeagiza Kiko na haijanifikia tu lakini sio mambo hayo 🤭

Kuweni na huruma na Wazee 🤗
Na kusoma vyema nami Nita anza kuzitumi njia zenu maana hata uzee mnaousema hamna ni vile tu mnajua kuwa mabinti hawasumbui wakishaskia mzee aliyejipata
 
Na kusoma vyema nami Nita anza kuzitumi njia zenu maana hata uzee mnaousema hamna ni vile tu mnajua kuwa mabinti hawasumbui wakishaskia mzee aliyejipata
Uzee unaambatana na hekima, ambazo ukiwa hujaufikia, huwezi kuwanazo
 
Ukishakuwa monopoly unajipangia bei yoyote kwa sababu huna mshindani.
 
A few wks ago nilikata ATCL MBY~DAR, wk moja kabla ya safari, nauli ilikua 565,000 TSH. Hii ni bei kubwa sana kwa mtanzania wa kawaida japo ndege ilijaa.
Hapo ukiongeza laki mbili na nusu unaenda Gaborone au JHB kabisa wabongo kwa kukomoana wanaongoza aisee..
 
A few wks ago nilikata ATCL MBY~DAR, wk moja kabla ya safari, nauli ilikua 565,000 TSH. Hii ni bei kubwa sana kwa mtanzania wa kawaida japo ndege ilijaa.
Tanzania ndege sio kwa ajili ya Mtanzania wa kawaida.
 
Huu Mradi Ulishafeli Mwanaume alikuwa fastjet mashine airbus bei ya kutupa kabisa sio haya mapropeller likiwa hewani tribulence za kushato roho mkononi
 
Tanzania ndege sio kwa ajili ya Mtanzania wa kawaida.

Na hapo ndo tunafeli. Nikaenda Dom, nikapanda SGR nauli 120k wakati nabook app ilionyesha inakaribia kujaa ila kwenye cabin yangu tulikua wawili tu. Nashindwa kwelewa.
 
Back
Top Bottom