Zerock
JF-Expert Member
- Sep 3, 2026
- 853
- 1,701
Mashirika yote ya ndege gharama ya one Way huwa ni kubwa230,000 kwa one way bado ni kubwa
Mashirika yote ya ndege gharama ya one Way huwa ni kubwa230,000 kwa one way bado ni kubwa
Hapo ukiongeza laki mbili na nusu unaenda Gaborone au JHB kabisa wabongo kwa kukomoana wanaongoza aisee..
Hii nchi watu mna hela jamani..Ukichelewa kukata tiketi, nauli huwa juu
Kuna siku nilikuwa na dharula ya safari, nililipia shilingi 975,000 kutoka DSM hadi Arusha, one way 🙌
Ndio basi tena.Of course ni kubwa
Haya mashirika, ni kwa vile wamekosa upinzani wa kutosha ndiyo maana bei zimekuwa juu
Ingekuwa enzi za fastjet, hapo watu wangelipa 230,000 hivi kwa safari moja
Unajua tofauti kati ya ID na Username? Mbona wengi wanajua nilibadilisha username ya Eli79, shwazniga ni avatar/picha, hii ya Sibeko na Shwazniga ndio avatar nimekuwa natumia toka nijiunge.Wazee ni hatari sana. Na yule ERoni alikuwa ananikandia kuwa nina ID mbili kumbe mzee ana ID lukuki hadi ya shwaziniga kwa ajili ya kutrap nyama nzuri, Duuh aisee. Humu ukikaa kudhani nyama ni ngumu kupata unaishi na delusion tu.
Wewe acha kujifanya mtakatifu.Unajua tofauti kati ya ID na Username? Mbona wengi wanajua nilibadilisha username ya Eli79, shwazniga ni avatar/picha, hii ya Sibeko na Shwazniga ndio avatar nimekuwa natumia toka nijiunge.
Usiwe mjinga, najua umeenda shule kidogo kijana!!!
Unadhani naweza kuwa mjinga wa viwango vyako, nifungue multuple IDs ili nipte nini, nikimtaka mwanamke natumia jina hili, namface direct, namtongoza, akikataa basi. Siwezi kuwa mjinga wa kiwango chako.Wewe acha kujifanya mtakatifu.
Unajitetea sana
wafanyeje sasa Shirika linazalisha hasara badala ya faida.
hizo akili unazipata wapi mwanawane? Hakuna maono ya hivyo kwa sasa.Tulitakiwa tuwe na treni za kisasa za umeme zinazounganisha majiji, tuwe na ndege halafu mafuta bei nzuri ili kila mtu awe mfanyabiashara. Unapanda treni chap umeingia mbeya unakodisha shamba ukivuna kuna treni ya mizigo unapakia mzigo unashushwa Arusha, Mwanza na Dar ndani ya siku moja.
Acha kujipa kulia minyama wewe, unapenda sana kujipa ujiko sana. I'd kibao unazo. Mimi ilitokea kwasababu ya Seran tu ila sinaga mpango wa ID lukukiUnadhani naweza kuwa mjinga wa viwango vyako, nifungue multuple IDs ili nipte nini, nikimtaka mwanamke natumia jina hili, namface direct, namtongoza, akikataa basi. Siwezi kuwa mjinga wa kiwango chako.
Ni ndoto mkuu, zile ndoto usiposhtuka unaharibu.hizo akili unazipata wapi mwanawane? Hakuna maono ya hivyo kwa sasa.
Zitaje!Acha kujipa kulia minyama wewe, unapenda sana kujipa ujiko sana. I'd kibao unazo. Mimi ilitokea kwasababu ya Seran tu ila sinaga mpango wa ID lukuki
Nakutania mkuu nothing seriousZitaje!
Mkuu,Nakutania mkuu nothing serious
Wewe wajuvi wanakujua humu ni moto wa kuotea mbali sana, unazichakata sanaMkuu,
Sijawahi kuwa perfect walaaaaa, hata mimi nazitamani sana papa na nikipata chance nakula, japo kwa sasa nguvu zinaisha na hamu inakata taratibu. Naamua kutulia na bibi yako tule uzee wetu kwa amani..
Ni waongo, hawajui lolote zaidi ya speculations. Kuna watu wanapenda kujua watu.Wewe wajuvi wanakujua humu ni moto wa kuotea mbali sana, unazichakata sana
Hiyo ni zaidi ya kwenda JBG south africa. Wapuuzi tu! Utasikia wansema ni mfumo badala ya kusema ni ujinga wao!Ila kuna mambo huwaga yanashangaza sana imagine dunia kote watu wanaumiza kichwa kupunguza gharama za usafiri ila habari ni tofauti sana ukija Tanzania
Kutoka Kia mpaka dsm bei ni laki 8 kupitia ATCL haya ni maajabu makubwa sana kwenye dunia ambayo inapambana kupunguza gharama
Nchi yeyote ile dunian lazima ipunguze safari za usafiri mdani ya nchi ili kurahusisha biashara ndani ya nchi ndo maana nchi kama china gharama za usafiri ndani ya nchi ni ndogo sana na hii imewasaidia ila hali ni tofauti na Tanzania
Kuna mambo kama nchi tuyaangalie kwa upana ila tokea wakati wa utawala wa magufuli alipoamua kuanzisha shirikia la ndege nilipinga approacha alizokuwa anatumia sio sustainable
Mfano tungeendela na business model ya kina fastjet bali leo hii gharama ya usafiri wa ndege ingekuwa chini zaidi ila tokea ATCL wawe na monopoly bei zimepanda maradufu