Hayo mapicha huwa mengi sana ukitumia atclNa hapo hayajatokea mapichapicha ya ndege kuchelewa kuondoka
Ndiyo, route ya Arusha inapata abiria wengi kwakuwa ni lazima ipite Zanzibar kabla hujaunganisha ArushaNdege ilijaa abiria?
Endelea kutukana ndo unachowezaSasa unataka kupanda ndege bongo kwa 30k ? Unafikiri ni ya baba yako mzee mashughuru kutokea huko vudee upareni au?
Chuma,saruji na Coal tunavyo,ingewezekana tukajenga SGR zinazounganisha Northern (Tanga-Ziwa Victoria), Southern (Mtwara-Mbamba Bay) corridors na South to North ili kusisimua uchumi.Tulitakiwa tuwe na treni za kisasa za umeme zinazounganisha majiji, tuwe na ndege halafu mafuta bei nzuri ili kila mtu awe mfanyabiashara. Unapanda treni chap umeingia mbeya unakodisha shamba ukivuna kuna treni ya mizigo unapakia mzigo unashushwa Arusha, Mwanza na Dar ndani ya siku moja.
Agree agree agreeChuma,saruji na Coal tunavyo,ingewezekana tukajenga SGR zinazounganisha Northern (Tanga-Ziwa Victoria), Southern (Mtwara-Mbamba Bay) corridors na South to North ili kusisimua uchumi.
Pia badala ya kujenga Barabara za lami tukatumia saruji(locally available materials)inter regional and Districts roads nchi nzima.
Mada ni gharama mkuu na sio wingi wa miundombinu.Tulitakiwa tuwe na treni za kisasa za umeme zinazounganisha majiji, tuwe na ndege halafu mafuta bei nzuri ili kila mtu awe mfanyabiashara. Unapanda treni chap umeingia mbeya unakodisha shamba ukivuna kuna treni ya mizigo unapakia mzigo unashushwa Arusha, Mwanza na Dar ndani ya siku moja.
Yes mkuu, nilichomekea tu, upo sahihi nilikuwa out of Mada.Mada ni gharama mkuu na sio wingi wa miundombinu.
Na hiyo ni kwenda tu siyo
Ova
Hata ukisikia wamenunua ndege 100 sio kwa faida ya wananchi maana nauli zao zipo juu harafu mwisho wa siku CAG anakuja na report ya hasara tena..
Gharama kubwa sanaYes, mkuu. Hiyo ni one way. Hiyo gharama sio rafiki kabisa.
Hauwezi kuwaelewa wahuni wana account mbili mbili za kwao na za Shirika.Nashindwa kwelewa.
aiseeeTulitakiwa tuwe na treni za kisasa za umeme zinazounganisha majiji, tuwe na ndege halafu mafuta bei nzuri ili kila mtu awe mfanyabiashara. Unapanda treni chap umeingia mbeya unakodisha shamba ukivuna kuna treni ya mizigo unapakia mzigo unashushwa Arusha, Mwanza na Dar ndani ya siku moja.
Hahaha, Wekeni wazi hizi tech, mzungu kaja na ndege nyie mnaficha ujuzi.Kwa bei hizo bora nikapande ungo tu
sio mimi, ni Mshana Jr huyoHahaha, Wekeni wazi hizi tech, mzungu kaja na ndege nyie mnaficha ujuzi.