Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

Waliweza FastJet
 
Hii argument ni nzuri ila imekosa validity. Mtoa hoja angetueleza kutoka KIA hadi JNIA kwa ndege ni kilometa kadhaa muda masaa kadhaa sh. hizo alizoweka.

Halafu angetupa mifano kama miwili mitatu ya umbali huo huo na muda huo huo nchi zengine na nauli yao ikoje.

Lakini kulaumu tu kuwa gharama ni kubwa sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…