the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
[emoji23] [emoji23] koromijeHii ni habari ya mji gani???dar??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] koromijeHii ni habari ya mji gani???dar??
[emoji23]utakuwa unatoka bukoba au mbeya.Nimeisha lipia Hummer H2 ya mwaka 2006 ipo njiani inakuja So mwenye kujifanya anzijua sana Hummer afunge domo lake. au aonyeshe gari alotembelea now. Mtu huna hata Toyota Vitz unaanza kubishana hapa kuhusu Hummer Shut up. Mi naendeha GMC cc500 Nina X5 cc400 Now navuta H2 cc600. Funga domo lako pls.
Sent using Jamii Forums mobile app
kibongo bongo barabara gani huu mchuma utaweza kutembelea?View attachment 580226hii ndiyo habari ya mjini sasa..hummer tupa kule..
Hapana umekosea mkuu natoea Kigoma tena Ujiji hasa.[emoji23]utakuwa unatoka bukoba au mbeya.
Aisee cc 400/500/600 hizo cc zimezidiwa hata na cc za vits mkuu.Nimeisha lipia Hummer H2 ya mwaka 2006 ipo njiani inakuja So mwenye kujifanya anzijua sana Hummer afunge domo lake. au aonyeshe gari alotembelea now. Mtu huna hata Toyota Vitz unaanza kubishana hapa kuhusu Hummer Shut up. Mi naendeha GMC cc500 Nina X5 cc400 Now navuta H2 cc600. Funga domo lako pls.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mimi mwanajeshi au nakaa porini?
Hebu weka PICHA yake
Lakini tunatofautiana mkuu,mbona kuna watu wananunua escudo na balloon mpaka leooo ni mapenzi ya mtu hata wewe kuna watu wanashangaa na kukucheka kwamba umeoa mwanamke uliye naye ni mbaya lakini wewe unampenda na kumkubali,Mimi hammer naipenda na ntainunuaKwani mimi mwanajeshi au nakaa porini?
Hilo ni gari la accountant mmoja alikuwa ananifuata nyumbani kutafuta kazi ya kuniandikia akaunti zangu zikae sawa kupeleka idara ya kodi Marekani.
Nilipoona anaendesha gari hilo nilimkatalia kazi, kwa sababu alionekana hana sense of economy kuendesha hilo gari New York City.
Mtaani kwangu ukipaki gari kama hilo watu wanakucheka na watoto wanaweza kuli spray paint kwamba unakuja kuchafua mtaa kwa magari ya vitani na maporini.
Ni sehemu ambazo hazina barabara za kueleweka tu ndiko unaweza kusema unanunua hili gari watu wakakuelewa.
Kwangu lami mpaka vichochoroni, watu hawalalamiki barabara hazina lami, watu wanalalamika kila sehemu lami na concrete hawaoni udongo.
Hummer la nini?
Hummers are so screaming 90s one must get a big logo "Tommy Hillfiger" T-Shirt, baggy Pelle Pelle jeans and Fubu sneakers to go with them.
Vipi escudo haijapitwa na wakati???? Mbona WATU wananunua
Mkuu umelipia kiasi ganiAisee cc 400/500/600 hizo cc zimezidiwa hata na cc za vits mkuu.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Mbona umeongea kwa majigambo sana, kana kwamba unaishi NY pekee yako?Kwani mimi mwanajeshi au nakaa porini?
Hilo ni gari la accountant mmoja alikuwa ananifuata nyumbani kutafuta kazi ya kuniandikia akaunti zangu zikae sawa kupeleka idara ya kodi Marekani.
Nilipoona anaendesha gari hilo nilimkatalia kazi, kwa sababu alionekana hana sense of economy kuendesha hilo gari New York City.
Mtaani kwangu ukipaki gari kama hilo watu wanakucheka na watoto wanaweza kuli spray paint kwamba unakuja kuchafua mtaa kwa magari ya vitani na maporini.
Ni sehemu ambazo hazina barabara za kueleweka tu ndiko unaweza kusema unanunua hili gari watu wakakuelewa.
Kwangu lami mpaka vichochoroni, watu hawalalamiki barabara hazina lami, watu wanalalamika kila sehemu lami na concrete hawaoni udongo.
Hummer la nini?
Hummers are so screaming 90s one must get a big logo "Tommy Hillfiger" T-Shirt, baggy Pelle Pelle jeans and Fubu sneakers to go with them.
Kiki.Kwani mimi mwanajeshi au nakaa porini?

Tatizo unapenda hammer katika kujadili Hummer.Lakini tunatofautiana mkuu,mbona kuna watu wananunua escudo na balloon mpaka leooo ni mapenzi ya mtu hata wewe kuna watu wanashangaa na kukucheka kwamba umeoa mwanamke uliye naye ni mbaya lakini wewe unampenda na kumkubali,Mimi hammer naipenda na ntainunua
Hata wewe unatafuta kiki kusema mimi natafuta kiki.
Ulimwengu mzima unaondoka katika ma gas guzzlers na kwenda kwenye more efficiency, kwa hiyo Escudo vs Hummer, Escudo inaenda na wakati zaidi.Vipi escudo haijapitwa na wakati???? Mbona WATU wananunua
Unabana bana hela ya mafuta ya nini?!?? Kama una hela kwa nini uwe mbahili???? Huo ni ushambaaa kwani mafuta kiasi ganiiii???! Acha watu tuendeshe hummerUlimwengu mzima unaondoka katika ma gas guzzlers na kwenda kwenye more efficiency, kwa hiyo Escudo vs Hummer, Escudo inaenda na wakati zaidi.
Kwa sababu za uchumi, kwa sababu za kujali mazingira, kwa parking, kwa kuwa practical, kwa sababu nyingi sana.
Nimerudi Tanzania nimemkuta rafiki yangu mmoja, ana hela ya kuendesha gari yoyote, anaendesha kigari kidogo hivi. Yeye tangu zamani ni mtu wa Vitara na gari kama hizo, lakini hiki kilikuwa kidogo zaidi.
Nikashangaa huyu vipi? Nikakumbuka huyu alisoma na kuishi Uingereza, kashapata falsafa ya kuendesha vigari vidogo ambavyo havitumii mafuta sana.
Na huyu hana shida ya kusema kanunua gari hilo kwa sababu hana hela. Anaweza kubadili magari "ya maana" kila baada ya miaka mitatu bila kusikia uchungu.
Ila ni mtu anayeelewa uchumi, anaelewa mazingira, anaelewa kwamba hahitaji gari lenye engine kubwa kwa safari zake.
Mtu kama huyu limbukeni anayelimbukia Hummer anaweza kumcheka kwamba anaendesha kigari kidogo, ila kwa mtu anayeangalia carbon emissions ataelewa huyu anafanya nini.
Tatizo ukianza kumwambia mtu ambaye hajui tofauti ya hammer na Hummer kuhusu carbon emissions ataanza kukuelewa wapi?
Nilisema ukianza kumuelezea habari za carbon emissions mtu ambaye hajui tofauti ya hammer na Hummer utaanzia wapi mpaka akuelewe?Unabana bana hela ya mafuta ya nini?!?? Kama una hela kwa nini uwe mbahili???? Huo ni ushambaaa kwani mafuta kiasi ganiiii???! Acha watu tuendeshe hummer
HahahahHii Gari kwa hapa Bongo ndio Brand ya Uhakika!!.
Jina lake tu, Ndoa kadhaa zitakua zimeshavunjika.!!.
Utakua kama pimp mtaani.
We nunua tu.
Usijali kama ni used ama old model.
We Nunua nikupeleke ile baa yenye mademu wakali. Ili Tukasumbue..!!
Sent using Jamii Forums mobile app