The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Mpwa posa tena? Sie tulikutana na mshua...mshua akaniuliza umempenda binti yangu kwa dhati...nikamwambia ndio mzee....akasema haya kaishi salama na binti yangu sitaki umtie makovu......wazazi wakatupa baraka sie haoo...Kwani kwao tayari posa umemwaga?
Hahahaha!!! Haya bana Bosskuna eneo mafia linaitwa 'france'
kwa hiyo ombi lako limezingatiwa lol
Hahaha.....huu ukali wa Paw unatokana na hasira za kunyimwa mke ati...we jaribu hata kukosea spelling uone atakavyokulima ban...Kumbe ndio maana jamaa huwa mkali kweli...
Mpwa, gharama za kujitakia hizo..asiulize!
Acha asubiri efaini tu!
Khaaa, boss utafanya TE aachike bana...lolkuna eneo mafia linaitwa 'france'
kwa hiyo ombi lako limezingatiwa lol
Mpwa posa tena? Sie tulikutana na mshua...mshua akaniuliza umempenda binti yangu kwa dhati...nikamwambia ndio mzee....akasema haya kaishi salama na binti yangu sitaki umtie makovu......wazazi wakatupa baraka sie haoo...
Unamwambia kalete nguo zako hamia kwangu...akikataa atajiju.Alafu hii ya kupiga mimba au mtu anategesha upige mimba ndo akukomalie ukamwoe unaizungumziaje?
Wengine utasikia ukoo wenu unaitwaje? Kwenu wewe mtoto wa ngapi? Ndugu zako wangapi wana magari?Watu wa huko wana vigezo vyao eti una usafiri?, una TV? una Sofa na friji? Una account ngapi?
Unamwambia kalete nguo zako hamia kwangu...akikataa atajiju.
Khaaa, boss utafanya TE aachike bana...lol
Wengine utasikia ukoo wenu unaitwaje? Kwenu wewe mtoto wa ngapi? Ndugu zako wangapi wana magari?
Sasa jamani yote hayo yanahusu nini?
Lol, tutamwomba fidel awe bodyguard wao kwa mda..sasa huko france akinyang'anywa na kina Pierre?jean????
vacation ni mafia lol...kuna eneo mafia linaitwa 'france'
kwa hiyo ombi lako limezingatiwa lol
Nataka 'kuosha jina' 1st April 2012 kabla jua halijachomoza,
niombeeni kheri ndio mchango wenu kwangu.
Lol, tutamwomba fidel awe bodyguard wao kwa mda..
Huko kwetu uchagani hizi zipo sana...lolHii inatokea nyanda gani? maana nisije ingia pupa wkt mm hata baiskeli similiki
:lol::lol::lol:
hahahaha....bahati yao, imagine pangeitwa Italy huh?...kina "Ali Kapone" Wangejaa huko!
Back to Topik...
Nataka 'kuosha jina' 1st April 2012 kabla jua halijachomoza,
niombeeni kheri ndio mchango wenu kwangu.
Hongera mzazi mi naomba niwe mpambe wako ili na mm nitangaze nia fasta.
:lol::lol::lol: